Teremaro Member Joined Mar 18, 2022 Posts 31 Reaction score 26 Aug 18, 2026 #1 Habari Wana JamiiForums, naomba kujua Daktari mzuri ama hospital inayotibu maswala ya uzazi wa mwanaume! Asante sana
Habari Wana JamiiForums, naomba kujua Daktari mzuri ama hospital inayotibu maswala ya uzazi wa mwanaume! Asante sana
Monetary doctor JF-Expert Member Joined Oct 20, 2022 Posts 14,350 Reaction score 27,420 Aug 18, 2026 #2 min -me
American nigga JF-Expert Member Joined Aug 8, 2014 Posts 902 Reaction score 1,545 Aug 18, 2026 #3 Eeh mkuu, kuna wataalamu wa urologist pale Muhimbili na Aga Khan wapo vizuri sana. Mimi nilikwisha mwambia rafiki yangu akatibiwa na akapata matokeo mazuri, usijali ni kawaida kuuliza, afya ya mwanaume ni muhimu kuliko kila kitu. safi sana
Eeh mkuu, kuna wataalamu wa urologist pale Muhimbili na Aga Khan wapo vizuri sana. Mimi nilikwisha mwambia rafiki yangu akatibiwa na akapata matokeo mazuri, usijali ni kawaida kuuliza, afya ya mwanaume ni muhimu kuliko kila kitu. safi sana
IlakozeOnline Tv New Member Joined Jun 4, 2022 Posts 3 Reaction score 0 Aug 24, 2026 #4 Teremaro said: Habari Wana JamiiForums, naomba kujua Daktari mzuri ama hospital inayotibu maswala ya uzazi wa mwanaume! Asante sana Click to expand... Kama unahitaji tiba wasiliana na dr huyu 0625522505 , ila uwe unaijua changamoto yako au umefanya vipimo
Teremaro said: Habari Wana JamiiForums, naomba kujua Daktari mzuri ama hospital inayotibu maswala ya uzazi wa mwanaume! Asante sana Click to expand... Kama unahitaji tiba wasiliana na dr huyu 0625522505 , ila uwe unaijua changamoto yako au umefanya vipimo
appoh JF-Expert Member Joined Mar 14, 2013 Posts 5,939 Reaction score 3,259 Aug 24, 2026 #5 Shisa ni nini mimi ntakusaidia elim utajitibu kwa matunda tu 0712505049