Daktari wa Saikolojia Charity na Mtangazaji wa Radio One Haji leo mmetuangusha Wanaume kwa Kuukiri huu Udhaifu

Kuna nyuzi tu ukisoma heading kabla ya kuufungua unajua umeletwa na kubwa la "ma.popoma" SAUT graduate.
 
Pole mzee mwenzangu Genta, tuvumilie, japo najua kilichokuudhi zaidi ni hiyo kusema publicly kuwa tunatumwa! Hahaa
 
Kuna nyuzi tu ukisoma heading kabla ya kuufungua unajua umeletwa na kubwa la "ma.popoma" SAUT graduate.
Kinachonifanya Niwadharau na kuwaona ni Wapumbavu na Wendawazimu ni nyie Wenyewe Kukiri Kila Siku ( 24/7 ) hapa JamiiForums kuwa HAMNIPENDI na MNANICHUKIA lakini bado 24/7 mnanisoma ( threads ) na mnafuatilia ( posts ) zangu hapa.
 
Eti na mlivyokua mkipopomika 😆 😆
 
WATU WANAPO KUWA NYUMA YA MIC, WENGI WANAONGEA WASIOFANYA.
WENGI NI MAIGIZO ZAIDI

TUKO KWENYE ZAMA ZA UMAMA UMAMA, UKITAKA SIFA NA FOLLOWERS WE ONGEA KIMAMA MAMA.

KUFANYA YOTE HAYO SIO KINGA YA KUZIA KUMZUIA MKE KUTIWA!
 
Ukisha penda haina kutumwa automatic unajikuta unaenda sokoni unafua unapika na vinginevyo ni upendo tu
Mkipendana mtasaidiana majukumu
 
Mhe. Rais nakuunga mkono kwa hilo, kwa huu msimamo utaendelea kwenye nafasi yako tutaendelea kukupa kura za kutosha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…