Ulongupanjala
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 8,273
- 13,567
Habari zenu.?
Naomba kujua jina na hospitali pia mawasiliano ya daktari wa magonjwa ya wanaume.(specialist)
Mimi nipo Arusha.
Nisingependa kuandika hapa tatizo linalonisumbua ila nataka kuonana na daktari face to face.
Asanteni wote.
Asante,Mangonjwa ya wanaume yanajumuisha:
- Saratini ya Prostate
- Jogoo mvivu (impotence)
- Kutokuwa na mbegu za uzazi (infertility)
- Jogoo kuwika 24/7 - (Apatite kubwa ya kufanya mapenzi)
- Mwanaume kuota matiti
- Nk.
Haya mangonjwa yote yana wataalamu wake. Ukiwa muwazi kidogo watu wanaweza kukuelekeza kwa specialist mahsusi..
Asante kwa info.Anaitwa dr kapona 0754286125 yeye ni vizuri ukutane naye kwenye private hospital yake ndo itakuwa rahisi! Yupo dsm