Daktari wa wanaume.

Daktari wa wanaume.

Ulongupanjala

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2013
Posts
8,273
Reaction score
13,567
Habari zenu.?

Naomba kujua jina na hospitali pia mawasiliano ya daktari wa magonjwa ya wanaume.(specialist)
Mimi nipo Arusha.

Nisingependa kuandika hapa tatizo linalonisumbua ila nataka kuonana na daktari face to face.

Asanteni wote.
 
Anaitwa dr kapona 0754286125 yeye ni vizuri ukutane naye kwenye private hospital yake ndo itakuwa rahisi! Yupo dsm
 
Habari zenu.?

Naomba kujua jina na hospitali pia mawasiliano ya daktari wa magonjwa ya wanaume.(specialist)
Mimi nipo Arusha.

Nisingependa kuandika hapa tatizo linalonisumbua ila nataka kuonana na daktari face to face.

Asanteni wote.

Mangonjwa ya wanaume yanajumuisha:

  1. Saratini ya Prostate
  2. Jogoo mvivu (impotence)
  3. Kutokuwa na mbegu za uzazi (infertility)
  4. Jogoo kuwika 24/7 - (Apatite kubwa ya kufanya mapenzi)
  5. Mwanaume kuota matiti
  6. Nk.

Haya mangonjwa yote yana wataalamu wake. Ukiwa muwazi kidogo watu wanaweza kukuelekeza kwa specialist mahsusi..
 
Asante,
wewe sema specialist gani unayemjua,then mimi nitaenda ikiwa yeye haliwezi tatizo langu atanielekeza kwa specialist mwingine atakayetibu ugonjwa wangu.
 
Back
Top Bottom