Daku langu la Leo bila pilau ya Aboubakar nitasikitika sana

KING MIDAS

JF-Expert Member
Joined
Dec 1, 2010
Posts
8,589
Reaction score
16,936
Swalama ndugu zanguni?

Huyu mwamba anapika sana pilau, sijui kwa sasa yuko wapi?

Mwanzo alikuwa soko la Kibasila Kariakoo. Soko lilipovunjwa kupisha mradi wa Reli ya SGR akahamia Suwata.

Sasa Suwata pamevunjwa sijui kahamia wapi huyu mjuzi wa mapilau nyama na kachumbari iliyochangamka?
 
Nenda tandika sokoni ule mtaa wa Michele kuna mama bonge anapika wali nazi hapo kilo moja nazi 8, mpaka kuku anaungwa Nazi utasahau Kula hayo mapilau yaliyojaa spice.
 
dini zingine bwana baada ya kuwaza dhambi zako utubu unawaza mavyakyula au ni mwezi wa mavyakyula
Waislamu wangeweza kuishi kama wanavyoishi mwezi wa Ramadhan dunia ingekuwa ya kistaarabu zaidi.

Imagine hata Yule Kigagula cha Instagram eti chenyewe mwezi wa Ramadhan kinasema hakipost connection.
 
siku hizi fasheni kufutulisha si mingine
 
Back
Top Bottom