KING MIDAS
JF-Expert Member
- Dec 1, 2010
- 8,589
- 16,936
Nenda tandika sokoni ule mtaa wa Michele kuna mama bonge anapika wali nazi hapo kilo moja nazi 8, mpaka kuku anaungwa Nazi utasahau Kula hayo mapilau yaliyojaa spice.Swalama ndugu zanguni?
Huyu mwamba anapika sana pilau, sijui kwa sasa yuko wapi?
Mwanzo alikuwa soko la Kibasila Kariakoo. Soko lilipovunjwa kupisha mradi wa Reli ya SGR akahamia Suwata.
Sasa Suwata pamevunjwa sijui kahamia wapi huyu mjuzi wa mapilau nyama na kachumbari iliyochangamka?
Mambo mazuri kama hayo mbona hatushirikishani siku zote daah kilo nazi nane!!!Nenda tandika sokoni ule mtaa wa Michele kuna mama bonge anapika wali nazi hapo kilo moja nazi 8, mpaka kuku anaungwa Nazi utasahau Kula hayo mapilau yaliyojaa spice.
Nitaenda na GENTAMYCINE, una namba ya mama lishe huyo?Nenda tandika sokoni ule mtaa wa Michele kuna mama bonge anapika wali nazi hapo kilo moja nazi 8, mpaka kuku anaungwa Nazi utasahau Kula hayo mapilau yaliyojaa spice.
Mawasiliano siku hizi ni jambo muhimu Sana 0658197013.Nitaenda na GENTAMYCINE, una namba ya mama lishe huyo?
Waislamu wangeweza kuishi kama wanavyoishi mwezi wa Ramadhan dunia ingekuwa ya kistaarabu zaidi.dini zingine bwana baada ya kuwaza dhambi zako utubu unawaza mavyakyula au ni mwezi wa mavyakyula
siku hizi fasheni kufutulisha si mingineWaislamu wangeweza kuishi kama wanavyoishi mwezi wa Ramadhan dunia ingekuwa ya kistaarabu zaidi.
Imagine hata Yule Kigagula cha Instagram eti chenyewe mwezi wa Ramadhan kinasema hakipost connection.
SwadaktaMawasiliano siku hizi ni jambo muhimu Sana 0658197013.
Hutaki tujisonsomole?dini zingine bwana baada ya kuwaza dhambi zako utubu unawaza mavyakyula au ni mwezi wa mavyakyula
Na Mimi acha nipige simuMawasiliano siku hizi ni jambo muhimu Sana 0658197013.