Daladala lateketea kwa moto Kimara, Dar

Daladala lateketea kwa moto Kimara, Dar

Palikuwa na michezo ya kuchoma majengo au kufanya brake zijam Ili gari iwake moto watu wakavute pesa zao bima.
 
Serikali itunge sheria kwamba kila basi linalobeba abiria liwe na fire protection system, kwa ajili ya usalama wa abiria, dereva pamoja na gari zenyewe. Hii itasaidia kuepusha ajali mbalimbali zitokanazo na moto.

Watanzania wengi bado hawajawahi na elimu ya kudhibiti moto pale unapoanza kuwaka katika magari au majumba mbali mbali. Wengi hukimbilia kuuzima moto huo kwa njia ya maji na mchanga, kitu ambacho huchochea ongezeko la moto katika sehem husika.
Sheria ipo mkuu, ila wahusika hawaifuatilii.
 
Labda tu kama lengo ni kulichoma moto gari Ili uvute jipya Bima, hii michezo ipo
Kivipi mkuu 😂😂😂? Ulitakiwa uanze kuwapa kwanza pole, afu ukishajua chanzo ndo ulaumu.
 
Back
Top Bottom