Daladala lateketea kwa moto Kimara, Dar

Palikuwa na michezo ya kuchoma majengo au kufanya brake zijam Ili gari iwake moto watu wakavute pesa zao bima.
 
Sheria ipo mkuu, ila wahusika hawaifuatilii.
 
Labda tu kama lengo ni kulichoma moto gari Ili uvute jipya Bima, hii michezo ipo
Kivipi mkuu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚? Ulitakiwa uanze kuwapa kwanza pole, afu ukishajua chanzo ndo ulaumu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…