MKWEPA KODI
JF-Expert Member
- Nov 28, 2015
- 28,701
- 71,056
Mwendokasi wanalipa road licence bila usumbufu kwa hiyo lazima wapewe kipaumbele
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hapana....kutesa raia.
mbona wanabeba kwenye mwendokasi...........utakutana na ndoo kibao .Waongeze tu magari, loooh, tunaminyana hadi matumbo yanakaribia kupasuka;
ila ni kweli mizigo hairuhusiwi, watu wa feri sijui samaki wanabeba kwenye usafiri upi.
Tarifa cyo za kwel
Na ukifanikiwa kulipanda hilo nyomi lake nilichogundua kumbe likijaza hewa yake ndani ni ndogo sana kweli mwendo kasiAcha tuisome namba,haya ya mwendokasi yenyewe hayapo ya kutosha.
Mtu unakaa kituoni lisaa lizima amna daladala.
Huo mzigo utaubeba kichwani amaNa hayo ni moja ya masharti yaliyofikiwa kati ya serikali na hao wanaoendesha huo mradi,kuwa pasiwepo na ruti ya daladala ktk njia hiZo kinyume na hapo ni kukiuka mkataba na kutawafanya hao waendeshaji wa huo mradi kusitisha na kuidai fidia serikali kwa kuvunja makubaliano yao,KINACHOWEZA KUFANYIKA NI KUWASHAWISHI HAO WAENDESHAJI WA HUO MRADI KUKUBALI KUBEBA MIZIGO NA SIO KURUHUSU DALADALA NJIA HIZO.
Ww muongo mkubwa!Acha tuisome namba,haya ya mwendokasi yenyewe hayapo ya kutosha.
Mtu unakaa kituoni lisaa lizima amna daladala.
Ambaye ni mdau katika sekta ya usafiri wa daladala, hao madereva na makondakta wao hupata habari kwanza kabla ya kukufikia wewe msafiri.source ya habar konda