Daladala za Masaki - Gerezani ni chafu, baadhi zina kunguni

BigTall

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2022
Posts
525
Reaction score
1,257
Nina uhakika andiko langu hapa Jamii Forums linaweza kuwafikia watu wengi hasa wenye mamlaka ili ziweze kuchukua hatu.

Hapa Dar usafiri wa watu wengi ni Daladala, kina sisi ambao hatuna uwezo wa kununua magari usafiri huo ndio tunaoutegemea kwa kiasi kikubwa/

Kuna daladala zimekuwa na kawaida ya kuwa chafu kiasi kwamba inakera sana unapoingia kwa ajili ya kutoka sehemu moja kwenda nyingine.

Nakumbuka zamani trafiki wengi walikuwa wakiwakamata madereva na makonda na kuwakagua kuhusu usafi wa mavazi yao. Moja kati ya changamoto kubwa ni daladala za Masaki hadi Gerezani, zimekithiri kwa uchafu.

Nyingi kati ya zinazopiga ruti kwenye njia hizo zimechoka hatari hadi kufikia hatua hadi mnakuta kunguni kwenye daladala, hali ambayo inatia kinyaa sana.

Unaweza kukuta ipo siku kunguni anakuingia mwilini, unafika ofisini au nyumbani unamtoa mdufu huyo.
DSCF0042.JPG
 
We peleleza hizo daladala mbovu wamiliki wake,watu wana piga kona ,wanafunga wenyewe
 
Hawa jamaa sijui huwa wanashindwa nini kufanya fumigation walau once per two weeks
 
masaki unapanda dalaDALA
HAMA HAPO HAPAKUFAI
Wengine wanaenda kule kufanya kazi za ndani na ulinzi jamani😃. Sema kama anaishi huko kweli ahame tu. Ila kuna watu wabishi. Hauzi anafungiwa mafence tu kila kona na majirani yeye na banda lake tu. Kisa hataki wenye hela wamnunue watamdharau 🤣🤣🤣badala auze akajenge nyumba nzuri sehemu cheap na awe na maisha mazuri. Ndo maana wanasema Umasikini chanzo chake ni roho mbaya
 
Tumieni tu hizo choka mbaya, dola zenyewe za kuagiza daladala mpya zimeadimika.
 
Wengine wanaenda kule kufanya kazi za ndani na ulinzi jamani😃. Sema kama anaishi huko kweli ahame tu. Ila kuna watu wabishi. Hauzi anafungiwa mafence tu kila kona na majirani yeye na banda lake tu. Kisa hataki wenye hela wamnunue watamdharau 🤣🤣🤣badala auze akajenge nyumba nzuri sehemu cheap na awe na maisha mazuri. Ndo maana wanasema Umasikini chanzo chake ni roho mbaya
kwa kweli, wauze tu wahamie hata bagamoyo
 
Mzee huo ni kweli halafu daladala za masaki gerezani nyingi ni mbovu sana kuna ile ya konga family ni mbovu kinoma aiseeeH
 
Nina uhakika andiko langu hapa Jamii Forums linaweza kuwafikia watu wengi hasa wenye mamlaka ili ziweze kuchukua hatu.

Hapa Dar usafiri wa watu wengi ni Daladala, kina sisi ambao hatuna uwezo wa kununua magari usafiri huo ndio tunaoutegemea kwa kiasi kikubwa/

Kuna daladala zimekuwa na kawaida ya kuwa chafu kiasi kwamba inakera sana unapoingia kwa ajili ya kutoka sehemu moja kwenda nyingine.

Nakumbuka zamani trafiki wengi walikuwa wakiwakamata madereva na makonda na kuwakagua kuhusu usafi wa mavazi yao. Moja kati ya changamoto kubwa ni daladala za Masaki hadi Gerezani, zimekithiri kwa uchafu.

Nyingi kati ya zinazopiga ruti kwenye njia hizo zimechoka hatari hadi kufikia hatua hadi mnakuta kunguni kwenye daladala, hali ambayo inatia kinyaa sana.

Unaweza kukuta ipo siku kunguni anakuingia mwilini, unafika ofisini au nyumbani unamtoa mdufu huyo.
View attachment 2658333
Kweli kabisa! Kwani hamjuwi sehemu zinazoongoza kunuka Kwa taka na barabara zilizotapishwa maji machafu ni USHUANI?!
USWAHILINI kila siku utaona na kusikia mifagio, na watachoma moto uchafu sababu ya gari za taka ni takataka pia..
 
Tatizo hizo daladala ni makazi ya watu hata muda wa kuoshwa hawana.
 
Dala dala za daslm ni balaa aisee ila siwalaumu kodi kubwa sana wacha waendelee kutumia hizo chuma chakavu...
 
Nina uhakika andiko langu hapa Jamii Forums linaweza kuwafikia watu wengi hasa wenye mamlaka ili ziweze kuchukua hatu.

Hapa Dar usafiri wa watu wengi ni Daladala, kina sisi ambao hatuna uwezo wa kununua magari usafiri huo ndio tunaoutegemea kwa kiasi kikubwa/

Kuna daladala zimekuwa na kawaida ya kuwa chafu kiasi kwamba inakera sana unapoingia kwa ajili ya kutoka sehemu moja kwenda nyingine.

Nakumbuka zamani trafiki wengi walikuwa wakiwakamata madereva na makonda na kuwakagua kuhusu usafi wa mavazi yao. Moja kati ya changamoto kubwa ni daladala za Masaki hadi Gerezani, zimekithiri kwa uchafu.

Nyingi kati ya zinazopiga ruti kwenye njia hizo zimechoka hatari hadi kufikia hatua hadi mnakuta kunguni kwenye daladala, hali ambayo inatia kinyaa sana.

Unaweza kukuta ipo siku kunguni anakuingia mwilini, unafika ofisini au nyumbani unamtoa mdufu huyo.
View attachment 2658333
Kama Dar yote inanuka unashangaa nini Kwa daladala kunuka? Kitombile
 
Back
Top Bottom