Daladala za Temeke asilimia kubwa (90%) ni Nissan Civilian. Je ni kwa nini?

Yess zipo sana Goms, Mbagala, Tegeta na Mbezi.
Simply zinaoperate sana kweny Nods za Dar
Ni kweli,

Zipo nyingi sana.. tena nyingi nazionaga zimeandikwa 'said cops' kwenye njia hiyo
Amezipamba vyema sana.
 
Price factor mkuu, hili swali nilimuuliza dereva wa daladala mmoja juzi kati akanijibu hivi:
Coaster ni expensive sana compared na Nissan. Coaster inaweza gonga mpaka 70M wakati Nissan Civilian ni 35M tu ndio maana matajiri wengi wanazinunua sana sahivi!
 
Ruti ya Temeke (Tandika) -Kariakoo imejaa magari ya mtu mmoja someone anayeenda kwa jina la Said. Kama ukiangalia vizuri hayo magari yameandikwa 'Corps'. Labda kwa kuwa ni strategy yake kibiashara ndio maana ana magari ya aina moja
 
We utakuwa choko sio bure...Jiangalie!!!
 
Ni kweli,

Zipo nyingi sana.. tena nyingi nazionaga zimeandikwa 'said cops' kwenye njia hiyo
Amezipamba vyema sana.
Dah hiyo familia wapo njema na ni mfano wa kuigwa kwa matajir na wafanyabiashara wa asili ya kipemba gari zaidi ya 200 zipo barabaran temeke yote imebebwa na said cops katika sector ya usafirishaji a.k.a big boss..Ze big boss kwa upande wa tata
 
Good observation
 
Hizo gari unazoziona temeke ni za wapemba wanachofanya wananunua mpya inapiga mzigo miaka miwili inapigwa bei kama ilivyo iwe nzima au mbovu kisha inaletwa nyingine ndio maana hizo kampuni za hao wapemba kina Cops hazifi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…