ArchAngel
JF-Expert Member
- Oct 11, 2015
- 4,513
- 3,757
Ukipata nijulishe mkuu, mafundi wa nissan bongo wachache mnoHivi hizi Nisaan Mafundi wengi wa bongo hawazijui sana Kama Toyota wapi kuna fundi mzuri wa Nissan?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukipata nijulishe mkuu, mafundi wa nissan bongo wachache mnoHivi hizi Nisaan Mafundi wengi wa bongo hawazijui sana Kama Toyota wapi kuna fundi mzuri wa Nissan?
Ni kweli,Yess zipo sana Goms, Mbagala, Tegeta na Mbezi.
Simply zinaoperate sana kweny Nods za Dar
We utakuwa choko sio bure...Jiangalie!!!Kwa hiyo ww unatumia apple sio watanzania bwana ndio maana tukaambiwa na trump nyie ni kama mashimo ya choo badala uwaze ufanye nn ufanikiwe zaidi hapo ulipo uende hatua unayotaka unawaza magar harafu unaniaminisha wanaume wa dar hovyo sana nilikuwa natetea lakini mmezidi maana sio kwa kuwaza huko
Dah hiyo familia wapo njema na ni mfano wa kuigwa kwa matajir na wafanyabiashara wa asili ya kipemba gari zaidi ya 200 zipo barabaran temeke yote imebebwa na said cops katika sector ya usafirishaji a.k.a big boss..Ze big boss kwa upande wa tataNi kweli,
Zipo nyingi sana.. tena nyingi nazionaga zimeandikwa 'said cops' kwenye njia hiyo
Amezipamba vyema sana.
Civilian inapendeza zaidi temeke sababu ina viti 24 na space kubwa ya kusimamisha watu na mizigo. Wakina Mama wajasiliamali wanazipenda sana zile na Temeke ni eneo kubwa la biashara. Ndio maana Makumbusho -Posta ni Coastal tu, hakuna wabeba samaki kule [emoji16][emoji16]