Dalili 10 kuonesha kwamba wewe uko kihisia zaidi

Usiwe na pupa bro chill,ebu soma andiko vizur kisha tafakari
Watu wote wenye afya ya akili na wakuupuuze

Kuanzia lini swala la kuwakumbuka wahitaji wafungwa, wagonjwa, walioangukiwa na kifusi, wenye madeni na wenye changamoto mbali mbali likiwa ni suala la hisia?

Upuuzwe
 
Je nimesema Hisia ni kitu kibaya?

Hisia ndio ubinadamu wetu na ndio uhalisia wetu,kwahiyo hatuwezi kukaa au kuishi bila hisia,,hisia zipo nzuri na mbaya lakini zote zina umuhimu wake

Itategemea ni kwa wakati gani unatakiwa utumie hisia na wakati gani usitumie

Chukulia kwamba kuna watu wanakuvunjia heshima,lakini unashindwa kusema HAPANA,je hapo ni sahihi kutumia hisia?

Don't be too emotional kila wakati
 
Na huwa hatujifunzi au kubadilika Kila siku ni kuapa tu
Sitarudia na unarudia
Hiyo ni kukosa self commitment ya kufanya jambo,na ili tufanikiwe katika hili inabidi tuheshimu maamuzi yetu na kuyasimamia
 
Nifanyeje ili niondokane na stress, overthinking, depression?
1. Tafuta kitu cha kukuweka busy (kazi ama ujuzi Fulani)
2. Fanya socialization
3. Mazoezi
4. Tengeneza habit ya kutoka out/ vacation mara Moja Moja.

Then lingine la mhimu zaidi Fanya
5. Meditation.

Fanya hivyo mfululizo kwa siku 21 (hizi ni siku ambazo zitakuwa ngumu kwako kutengeneza hayo mambo kuwa habit ila baada ya hapo itakuwa ni life style yako)....

Usisahau kula vizuri (diet) na kupata muda wa kupumzika.

I'm not a therapist ila hiyo itakusaidia kiasi kikubwa. Ikishindikana nenda kwa wataalamu watakusaidia kwa sababu tatizo litakuwa nje ya uwezo wako kulitatua.
 
Nimeipenda hii

Asante kwa mchango wako
 
Kama hutojali huenda kuna mtu huwa anasikia meditation au fanya meditation lkn hajui how to go about

Je walau kwa uchache kama hutojali waeza toa elimu kidogo

Shukrani
 
1. Tafuta kitu cha kukuweka busy (kazi ama ujuzi Fulani)
2. Fanya socialization
3. Mazoezi
4. Tengeneza habit ya kutoka out/ vacation mara Moja Moja.

Then lingine la mhimu zaidi Fanya
5. Meditation.

Fanya hivyo mfululizo kwa siku 21 (hizi ni siku ambazo zitakuwa ngumu kwako kutengeneza hayo mambo kuwa habit ila baada ya hapo itakuwa ni life style yako)....

Usisahau kula vizuri (diet) na kupata muda wa kupumzika.

I'm not a therapist ila hiyo itakusaidia kiasi kikubwa. Ikishindikana nenda kwa wataalamu watakusaidia kwa sababu tatizo litakuwa nje ya uwezo wako kulitatua.
Jinsi ya kufanya meditation ni ipi?
 
Back
Top Bottom