Watu wote wenye afya ya akili na wakuupuuzeUsiwe na pupa bro chill,ebu soma andiko vizur kisha tafakari
Je nimesema Hisia ni kitu kibaya?Watu wote wenye afya ya akili na wakuupuuze
Kuanzia lini swala la kuwakumbuka wahitaji wafungwa, wagonjwa, walioangukiwa na kifusi, wenye madeni na wenye changamoto mbali mbali likiwa ni suala la hisia?
Upuuzwe
Hiyo ni kukosa self commitment ya kufanya jambo,na ili tufanikiwe katika hili inabidi tuheshimu maamuzi yetu na kuyasimamiaNa huwa hatujifunzi au kubadilika Kila siku ni kuapa tu
Sitarudia na unarudia
1. Tafuta kitu cha kukuweka busy (kazi ama ujuzi Fulani)Nifanyeje ili niondokane na stress, overthinking, depression?
Ni kukumbushana tu mkuu,matatizo mengi yana suluhishwa na hela.Hamkosekani 😂😂
Nimeipenda hii1. Tafuta kitu cha kukuweka busy (kazi ama ujuzi Fulani)
2. Fanya socialization
3. Mazoezi
4. Tengeneza habit ya kutoka out/ vacation mara Moja Moja.
Then lingine la mhimu zaidi Fanya
5. Meditation.
Fanya hivyo mfululizo kwa siku 21 (hizi ni siku ambazo zitakuwa ngumu kwako kutengeneza hayo mambo kuwa habit ila baada ya hapo itakuwa ni life style yako)....
Usisahau kula vizuri (diet) na kupata muda wa kupumzika.
I'm not a therapist ila hiyo itakusaidia kiasi kikubwa. Ikishindikana nenda kwa wataalamu watakusaidia kwa sababu tatizo litakuwa nje ya uwezo wako kulitatua.
Kama hutojali huenda kuna mtu huwa anasikia meditation au fanya meditation lkn hajui how to go about1. Tafuta kitu cha kukuweka busy (kazi ama ujuzi Fulani)
2. Fanya socialization
3. Mazoezi
4. Tengeneza habit ya kutoka out/ vacation mara Moja Moja.
Then lingine la mhimu zaidi Fanya
5. Meditation.
Fanya hivyo mfululizo kwa siku 21 (hizi ni siku ambazo zitakuwa ngumu kwako kutengeneza hayo mambo kuwa habit ila baada ya hapo itakuwa ni life style yako)....
Usisahau kula vizuri (diet) na kupata muda wa kupumzika.
I'm not a therapist ila hiyo itakusaidia kiasi kikubwa. Ikishindikana nenda kwa wataalamu watakusaidia kwa sababu tatizo litakuwa nje ya uwezo wako kulitatua.
Mkuu, UFAFANUZI kidogo hapa tafadhali..Once your emotional intelligence has turned against you, no power in the universe can save you
Meditation ndio dawa, ukiwa unasikiliza na meditation songs kila siku unapona kabisa. Mf. Download wimbo wa sorcerer by white sand utanishukuru. Au njoo inboxNifanyeje ili niondokane na stress, overthinking, depression?
Jinsi ya kufanya meditation ni ipi?1. Tafuta kitu cha kukuweka busy (kazi ama ujuzi Fulani)