Dalili 10 kwamba una hisia sana

Uhalisia ni kwamba nobody cares. Maana yake chochote utakachokifanya kwa mtu hakitokuwa na faida yoyote kwako.

Ni vizuri watu wa aina hii waanze falsafa ya "ubinafsi" mara moja, au wataendelea kuwa victims, kuonewa na kuumia kwa ndani.

Na mwisho wa siku watakuja kufanya mambo hatari kwao au kwa wengine.

There's a difference between being virtue and harmless. Being harmless isn't virtue, you're just harmless, you do everything you do, not because it's right, but because you can't say No. Having the ability to say no and make your own decisions according to your Self priorities. Is virtue.

Otherwise wewe ni doormat. Na tutakutumia accordingly.
 
Mtoa mada napenda kupingana na wewe kwenye kichwa cha habari na ulichoandika...Kila mtu ana hisia, hata psychopaths. Ishu ni emotional control. Ukisema mwanaume anayelia ameumia sana kuliko anayecheka unaweza ukakosea...wote wanaweza kuwa na hisia sawa ila ni CONTROL ndio inayoleta tofauti. Ukifikiria una hisia nyingi ndio maana unafanya mambo ya hovyo ni ulemavu wa kushindwa kutumia nia yako esp kwa mwanaume
 
Upo sahihi sana...huwez kuwa binadam kama huna hisia...japo sio kila hisia ina faida kwako kwa muda flani...na unaweza kushindwa hisia na ukafanya ya maana kwenye maisha yako
 
hizi hisia wengi wanazo au walikuwa nazo, ila zimeshaharibiwa na waharibifu watu hawazijali tena hisia za wenzao iwe za furaha au za huzuni

Kwa ulimwengu huu wa sasa ukitanguliza hisia sana mhhhh

kuna kausemi kamekaa ka kakiuhuni eti tubalance Shobo zetu
 
Mimi namshukuru sana Mdakuzi ameweza kunifundisha vyema naweza kudhibiti hisia siku hizi.
Amekufundisha nn my wng maana na me nipo hivyo mpk kuna mda najichukia. Najali sn, staki kuudhi wala kuumiza wengine, staki kupoteza wengine nawapenda kwa moyo wangu, nawahesabu kama navyo jihesabu! Ila sasa malipo 😒 ni mtihan na wala hawajali.
 
Acha tuuu my
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…