Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hisia ni emotions kama zile niluzompa yule rafiki yako ukamshawishi kunikataa na ananichukia mpaka leo kwa kosa la kuonesha mapenzi kwake.Hisia ndio vitu gani?? 🤣
Na ni kwelina hawa hawa ndio wapo upande wa I LOVE YOU sio I LOVE YOU TOO 😄
[emoji16][emoji16]Nlikuzwa hvo nyumbani sema nlivoanza maisha nkakuta mambo yapo tofauti sana saiv nipo semester ya mwisho ya kua shetani kamili
😂😂😂 Ww katoto hujambo??Nilijua tu utasema hivi🤣
😂😂😂😂 Acha nongwa zako, mbona shem yuko pouwa tyuuu!! Em mkubali basi mahi😂😂😂😂😂😂😂😂 we huogopi??
Komenti bora kabisa ya mwaka, naomba niiweke kwenye bango kubwa maeneo ya kariakoo.😂😂😂😂 Acha nongwa zako, mbona shem yuko pouwa tyuuu!! Em mkubali basi mahi
Asante sana kwa kuthamini kile kidogo nilichoweka kwako. Waswahili huwa wanasema, kushukuru ni sawa na kujiweka kwenye wasaa mzuri qa kuomba tena kingine.Mimi namshukuru sana Mdakuzi ameweza kunifundisha vyema naweza kudhibiti hisia siku hizi.
Upo sahihi sana...huwez kuwa binadam kama huna hisia...japo sio kila hisia ina faida kwako kwa muda flani...na unaweza kushindwa hisia na ukafanya ya maana kwenye maisha yakoUhalisia ni kwamba nobody cares. Maana yake chochote utakachokifanya kwa mtu hakitokuwa na faida yoyote kwako.
Ni vizuri watu wa aina hii waanze falsafa ya "ubinafsi" mara moja, au wataendelea kuwa victims, kuonewa na kuumia kwa ndani.
Na mwisho wa siku watakuja kufanya mambo hatari kwao au kwa wengine.
There's a difference between being virtue and harmless. Being harmless isn't virtue, you're just harmless, you do everything you do, not because it's right, but because you can't say No. Having the ability to say no and make your own decisions according to your Self priorities. Is virtue.
Otherwise wewe ni doormat. Na tutakutumia accordingly.
Amekufundisha nn my wng maana na me nipo hivyo mpk kuna mda najichukia. Najali sn, staki kuudhi wala kuumiza wengine, staki kupoteza wengine nawapenda kwa moyo wangu, nawahesabu kama navyo jihesabu! Ila sasa malipo 😢 ni mtihan na wala hawajali.Mimi namshukuru sana Mdakuzi ameweza kunifundisha vyema naweza kudhibiti hisia siku hizi.
Acha tuuu myHuyu ni mimi...
Na kudhani kuwa kila mtu yupo kama wewe...Ukishtuka ndiyo unakumbuka kumbe mpo tofauti....
Mimi hii ya kujali...Nikiwa 1st chuo Rafiki yangu wa karibu sana hadi sasa...Ndiyo aliniambia...Maki ila wewe unajali sana....Kitu ambacho nilidhani Binadamu wote tuko hivyo..
Sawa, kesho naweka kwenye gari la ubingwa la Yanga tunapita nayo pale Msimbazi😂😂😂 Iweke pale msimbazi