Dalili 16 ya kuonekana na mtu kuwa na ugonjwa wa UKIMWI

Dalili 16 ya kuonekana na mtu kuwa na ugonjwa wa UKIMWI

Zipo,kama vile kupungua uzito,kuugua homa za mara kwa mara,majelaha yasiyo pona kwa mda mwafak,nywele kubadilika,kuharisha bila mpango,kupungua nguv za mwili,mwili kupata maumivu vipo ving sana,mda inategemea na kinga yako ya mwili kuzidiwa nguv na hao wadudu
 
we jamaa unanilenga si bure, hapa nilipo natetemeka kwa uwoga!
 
Cha msingi sana we nenda ukapat vipimo kamili hapo ndo utaondoa utata,kwel hizo ndo dalili lakin wawez ugua kam homa ya matumbo yani tyfod,pia maleria isio pona hata magonjwa nyemerez,ondoa shaka kapate vipimo
 
Zipo,kama vile kupungua uzito,kuugua homa za mara kwa mara,majelaha yasiyo pona kwa mda mwafak,nywele kubadilika,kuharisha bila mpango,kupungua nguv za mwili,mwili kupata maumivu vipo ving sana,mda inategemea na kinga yako ya mwili kuzidiwa nguv na hao wadudu

huu ni uongo sio ndani ya mwezi ni miaka kadhaa ndio kinga inaanza kupungua baada ya kushambuliwa sana
 
Dah mmeshaharibu pasaka yangu..

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
ah..ah...dokta MziziMkavu ngoja nisibitishe kwanza kwa kupima, niko navuta vuta kamda..... nikipima nitakustua ili unipe dawa
Unaendelea kuwa kijibwa kwa wanawake? yaani unanyonya bado Papuchi? Si unakumbuka nilikutibu maradhi koo kuvimba koo umepona mbona huja waambia watu kuwa ni mimi niliyekupa dawa yangu ukapona?
 
Unaendelea kuwa kijibwa kwa wanawake? yaani unanyonya bado Papuchi? Si unakumbuka nilikutibu maradhi koo kuvimba koo umeponambona hujawaambia watu kuwa ni mimi niliyekupa dawa yangu ukapona?

Mh❗➖Mzizi��������
 
Dr mzizi mkavu dawa ya ngoma bei gani, nataka niwe nayo kabisaa kwa droo yangu maana kwakweli kondomu sipendagi kabisa
Nitafute kwa wakati wako nipate kukupatia.
Unaweza kunitafuta kwa Mawasiliano Herbalist Dr. MziziMkavu Email barua ya pepe.fewgoodman@hotmail.com What's App +905344508169 Au Ni add Kwa Facebook tumia jina hili mzizimkavu. Au boonyeza hapa.Mzizi Mkavu
 
HApo sasa. Ndo utamkumbuka kila mtu uliyetoka nae. Mara zari, wema, joketi, penny

O.M.G[emoji23] [emoji23]
 
chukuwa Asali mbichi kijiko 1 changanya na unga waTangawzi kijiko 1 kidogo kula kila siku asubuhi kabla ya kula kitu na usiku wakati wa kulala Betri yako itakuwa na moto sana
huu unga wa tangawizi unauzwa au nasaga tangawizi...af babu nilikua nakunywa asali na bapa kabla ya game na karanga ...vp hapo
 
Unaendelea kuwa kijibwa kwa wanawake? yaani unanyonya bado Papuchi? Si unakumbuka nilikutibu maradhi koo kuvimba koo umepona mbona huja waambia watu kuwa ni mimi niliyekupa dawa yangu ukapona?
Mkuu tiba ya uvimbe wa korodani moja ni nini
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] dadeki ....HUU NDO UZI PEKEE ULOFIKISHA WATAZAMAJI MAELFUUUUU 77K

ALAFU UKAWA NA KOMENTI KIDUCHUUUUUUUU yaaan 40 KOMENT +nayangu humo humo.

Hii INATHIBITISHA KUMBE WATU WENGI WAPO AWARE NA HUU UGONJWA ILA HAWATAKI KUONEKANA!!.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] niliwah sema ,nyuzi km izi huwa zinakua na Viewers wengiiii ,wachangiaji kiduchu.
 
Back
Top Bottom