Dalili 16 ya kuonekana na mtu kuwa na ugonjwa wa UKIMWI

huu unga wa tangawizi unauzwa au nasaga tangawizi...af babu nilikua nakunywa asali na bapa kabla ya game na karanga ...vp hapo
http://www.jamiiforums.com/mobile-gallery/7944be5c2e59a4bd16f3b44f268c6b3e.jpg[/IMG)
Unga wa Tangawizi huu hapa tshs 2000 tu. Kwa Dar unaletewa ulipo,mkoani utatumiwa.
 
huu unga wa tangawizi unauzwa au nasaga tangawizi...af babu nilikua nakunywa asali na bapa kabla ya game na karanga ...vp hapo
Unauzwa unga waTangawizi ukikos aunaweza pia kutumia tangawizi mbichi ukaziponda Tangawizi mbichi kam nusu kilo kisha ukaziweka ndani ya Asali mbichi ya nyuki wadogo isiyo chakachuliwa ukatia ndani yake kisha ukaiacha ikae masaa 24 ndio siku ya pili unakula kijiko 1 asubuhi kabla ya kula kitu na kijiko mchana na kijiko 1 usiku tmia kila siku mpak umalize nenda kajribu kufanya mapenzi utakuja kuniambia mrejesho wako
 
Tiba ya Upungufu waKinga za Mwili aka (Ukimwi) Ipo kw amwenye kutaka anitafute kwa wakati wake niapte kumtibia.
Unaweza kunitafuta kwa Mawasiliano Herbalist Dr. MziziMkavu Email barua ya pepe.fewgoodman@hotmail.com What's App +905344508169 Au Ni add Kwa Facebook tumia jina hili mzizimkavu. Au boonyeza hapa.Mzizi Mkavu
 
mpaka upime kwanza ndo utapata uhakika maana UKIMWI na STRESS dalili zake znaendana
 
Wengi huambukizwa kirahisi wakiwa katika hali ya Ulevi wa Pombe.
Usifanye tendo la ngono na mtu usiyemjua afya yake ukiwa umelewa.
Kondom husaidia kwa asilimia ndogo sana, kwa wale wanojua matumizi yake na pia wanafanya kwa tahadhali kubwa.
Dawa jubwa ni,
Kuwa na mpenzi (mke) (mume) mmoja mwaminifu.
 
Utajuaje kama ni mwaminifu 100%?
 
Dr Sebi Tells How He Cures A.I.D.S



HAYA TENA KWA WENYE MARADHI YA UKIMWI NITAFUTENI NIPATE KUWATIBIA MUPATE KUPONA DAWA IPO.
Ukiwa na Shida yoyote ile
Usipo pona kwa Dawa za Hospitali nitafute mimi nipate kukutibia upate kupona ukihitaji matibabu yangu
Unaweza kunitafuta kwa Mawasiliano Herbalist Dr. MziziMkavu Email barua ya pepe.fewgoodman@hotmail.com What's App +905344508169 Au Ni add Kwa Facebook tumia jina hili Herbalist mzizimkavu. Au boonyeza hapa.Herbalist MziziMkavu
 
Kaka rudisha avatar yako ya judge Othmane Chande
 
New #57
Hivi MTU Mwenye maambukizi tayari dani ya miaka miwili anaweza kuwa anaongezeka uzito bila kutumia Dawa yoyote,,?? Yani hanywi dozi za ARV na kaambukizwa miaka miwili imepita na akawa anaongezeka uzito??
 
Kama una presha usiende kupima mana waweza ukafa kabla hata majibu hayajaja.
Kweli mkuu. Mie nakumbuka kuna siku watu wa Benki ya Damu walikuja kanisani kwetu kuomba tuchangie damu, basi mie nikawa mmojawapo wa waliochangia damu. Wakatuambia kuwa kama unataka kupata majibu ya damu yako, unaruhusiwa kwenda Bugando huko kwenye benki ya damu utapewa majibu ya damu yako.
Mie nikaona isiwe tabu nikaenda.

Kilichofuatia hapo acha kabisa: Yule mtoa majibu akaniambia maneno ambayo siku sikiliza vizuri zaidi ya kusikia neno POSITIVE.
Nikajikuta makamasi yanatoka, machozi yanatoka. Basi akabaki ananishangaa. Akaniuliza kulikoni mbona unalia?
Nikamjibu "WEWE SI UMESEMA MIMI NI POSITIVE"

Hapo sasa nikaanza kulia kwa sauti kubwa, hadi wenzie wakaja pale kuuliza kuna nini?

Yule dada akawaambia wenzie kuwa "Huyu, nimemwambia kuwa DAMU YAKE NI GROUP O POSITIVE, SASA NASHANGAA AMEPANIC"

πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ looooooh! hapo ndio nikashuka kidogo, nikamwambia mimi sikusikia kama umeongelea group la damu, nimekusikia tu ukisema mimi ni positive. hahahahahhah

Basi wakaniambia kuwa mimi niko FRESH kabisa sina ngoma, wakanipa kadi yao, wakaniomba niwe nachangia damu mara kwa mara.

KUPOKEA MAJIBU SIO MCHEZO aisee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…