Dalili 5 za mwanamke asiyekupenda

Dalili 5 za mwanamke asiyekupenda

Kuna ile tabia ya wanawake kucheka cheka kila jamaa apitapo hawa viumbe cjui wana bandama pair
 
Hivyo vyote ni lazima kama huna pesa.
Hawezi kuvunja appointment kuhofia kukosa pesa.
Anajali uwepo wako apate pesa.
Kila wakati anakutafuta hadi kero.
Anajichekesha kwako.
Hukutangazi kwa rafiki zake kuogopa kupinduliwa.
SMS moja anajibu kumi.

Tafuta pesa, basi.
Na anakwambia, baby hebu waambie unadate na mimi maana nawaambia hawaamini!
 
Na anakwambia, baby hebu waambie unadate na mimi maana nawaambia hawaamini!
Ukiwa name pesa yeye atasema anadate name wewe sio kinyume chake. Sterling ni mwenye pesa. Akidengua wengine wapo kwenye waiting list.
 
Unakuta mtu anaona dalili zote hizi na bado anajipa moyo ya kuwa anapendwa, siku zote akili ndo inasema kuwa upo upande sahihi au lah ila moyo ndio unasimama ktk kile ukipendacho, hivyo basi ni vyema ukaipa nafasi uwezo mkubwa wa kuamua na sio moyo.
 
Dalili 5 za mwanamke asiyekupenda izo hapo

1.Anavunja appointment muda wowote

2.Hajali uepo wako

3.hakutafuti mpaka ww umtafute

4.Anacheka kwa dharau

5.Anatangaza mambo yako kwa rafiki zake

6.Hajibu sms zako. Hivyo ukiona dalili hizi ndugu yangu jiongeze ila uking'ang'ania utaumia
Umejuaje hii situation
 
Kweli kabisa aisee
 
Dalili 5 za mwanamke asiyekupenda izo hapo

1.Anavunja appointment muda wowote

2.Hajali uepo wako

3.hakutafuti mpaka ww umtafute

4.Anacheka kwa dharau

5.Anatangaza mambo yako kwa rafiki zake

6.Hajibu sms zako. Hivyo ukiona dalili hizi ndugu yangu jiongeze ila uking'ang'ania utaumia

Naona umeamua kutuelezea yaliyokupata / yaliyokusibu kwa aina yake na muundo wa Kipekee wa ' Kutuzuga ' ili tusijue kama siyo kukushtukia. Pole sana Mkuu.
 
Dalili 5 za mwanamke asiyekupenda izo hapo

1.Anavunja appointment muda wowote

2.Hajali uepo wako

3.hakutafuti mpaka ww umtafute

4.Anacheka kwa dharau

5.Anatangaza mambo yako kwa rafiki zake

6.Hajibu sms zako. Hivyo ukiona dalili hizi ndugu yangu jiongeze ila uking'ang'ania utaumia

UNgekuwa na Mwanamke Kama mimi ungeumia vibaya sana
Maana hii ndio michezo yangu

Nikikupenda nafanya haya yote ulioandika

Nisipokupenda nafanya kinyume na haya yote ulioandika!

Kila Mwanamke na mambo yake hatufanani!
 
Aisee hatari sana
 
Dalili 5 za mwanamke asiyekupenda izo hapo

1.Anavunja appointment muda wowote

2.Hajali uepo wako

3.hakutafuti mpaka ww umtafute

4.Anacheka kwa dharau

5.Anatangaza mambo yako kwa rafiki zake

6.Hajibu sms zako. Hivyo ukiona dalili hizi ndugu yangu jiongeze ila uking'ang'ania utaumia
Inamaanisha wanawake wote ambao mtu hana mahusiano nao kimapenzi watabehave hivi au ambaye mliwahi kupendana akabadilika? Kwa upande wangu nimegundua sipendi kupendwa wala kupenda!
 
Inamaanisha wanawake wote ambao mtu hana mahusiano nao kimapenzi watabehave hivi au ambaye mliwahi kupendana akabadilika? Kwa upande wangu nimegundua sipendi kupendwa wala kupenda!
Hapana ambao ndio mtu anafukuzia huwa ulionesha kumpenda sana anaanza sababu kumbe hakupendi bali anakupoteza muda wako
 
Hivyo vyote ni lazima kama huna pesa.
Hawezi kuvunja appointment kuhofia kukosa pesa.
Anajali uwepo wako apate pesa.
Kila wakati anakutafuta hadi kero.
Anajichekesha kwako.
Hukutangazi kwa rafiki zake kuogopa kupinduliwa.
SMS moja anajibu kumi.

Tafuta pesa, basi.
Kila domo zege anaamini akiwa na pesa atapata kila dem mzuri
 
Back
Top Bottom