Dalili hizi zinamaanisha nini? Naomba ushauri tafadhali

Dalili hizi zinamaanisha nini? Naomba ushauri tafadhali

Kwahiyo na hiyo homa tika tika bado ukataka kupanda kifuani??? Duh

Anyways nenda hospitali ndugu. Mtandaoni ni sehemu mbaya kabisa kuomba ushauri wa kitabibu.
 
Probably madonda ya tumbo sometimes husababisha hayo maumivu kifuani na upungufu wa nguvu za kiume, Ila hiyo ya maumivu kwenye mguu inahitajika vipimo zaidi pamoja na historia iliyoshiba kugundua ugonjwa ukiachana .but vipimo vya hospital ni muhimu zaidi
 
Msimamizi wa Mirathi niko hapa, ntakuja na wachimbaji kabisa.
 
Back
Top Bottom