Kipondo Cha ugoko
JF-Expert Member
- Apr 12, 2023
- 878
- 1,511
- Thread starter
- #21
Asante mkuuUnaugua vidonda vya tumbo na Figo yako ya kushoto ina shida pata mlo kamili
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asante mkuuUnaugua vidonda vya tumbo na Figo yako ya kushoto ina shida pata mlo kamili
Asante mkuuMkuu Pole sana una upungufu wa nguvu zako za kiume nione mimi kwa wakati wako ili nipate kukutibia upate kuwa na nguvu za kiume vizuri kiasi cha kuweza kumfikisha mke wako kileleni uguwa pole.
Asantepolee mkuu.
Pamoja mkuuNenda hospital ukapime ujue tatizo.
Pamoja mkuuNenda hospitali mkuu, hapa tutapiga ramli tu mwisho wake utafika hospitali umechelewa wanakuwa wanahesabia siku zako mpaka ukate moto
OkDah aisee ni serious sana hiii… wahi kesho hospital
Kweli?Kaka kesho asubuhi wai hospitals hiyo ni dalili ya heart attack
Hapana ndgu labda unifafanulieSamahan, anaeweza kujua Nini maana ya anterior myxotonomous mitrl valve leaflet