Nyankurungu2020
JF-Expert Member
- Oct 2, 2020
- 4,170
- 6,757
Tozo za kila namna zinawaangukia wao. Hawana uwezo wa kumudu lakini watafanyaje sasa?
Hawasikii miradi mipya ikianzishwa kwa ajili ya taifa lao. Ina maana pesa wanazokamuliwa zinakamilisha miradi ya zamani.
Kuna genge la wana CCM wanaodai chama ni mali yao limewakalia vibaya wananchi, sasa linajibutulia tu bila kujali lolote.