Dalili kuu za mtu aliyefanyia mambo ya uchawi mtu aliyerogwa kiuchawi

Dalili kuu za mtu aliyefanyia mambo ya uchawi mtu aliyerogwa kiuchawi

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2009
Posts
42,872
Reaction score
34,363
WAPO WATU WENGI WANAOGOPA SANA UCHAWI HUFIKIA MTU ANAPOPATWA NA TATIZO HUDHANI

KAROGWA UISLAMU HAUJARUHUSU MTU YEYOTE KUFANYA UCHAWI NI HARAMU KABISA:

UCHAWI NI AMALI YA UKAFIRI UCHAWI HUFANYA KAZI KWA USHIRIKIANO NA MASHETANI.

UCHAWI NI NINI

KUNA MAANA NYINGI ZA NENO HILI SIHIR (UCHAWI): -

(1) KUKIGEUZA KITU NA KUKITOA KATIKA HAKIKA YAKE.

(2) NI MAAFIKIANO BAINA YA MCHAWI NA SHETANI YA KWAMBA ATENDE BAADHI YA MAMBO HARAMU AU YA KISHIRIKINA ILI SHETANI AMSAIDIE YEYE NA KUMTII ANALOLITAKA.

(3) NI KUIDHIHIRISHA BATILI KATIKA SURA YA HAKI: HIZO NI BAADHI YA TAFSIRI ZA UCHAWI. JAMBO LA KUZINGATIA NI KWAMBA UCHAWI UPO NA TENA UNAUMIZA.

DALILI ZA UCHAWI

(1) KUUMWA SANA NA KICHWA

(2) PRESHA MARA KWA MARA HATA DAWA HAIKUBALI.

(3) KUTOONA BILA YA SABABU

(4) NDOTO ZAKUTISHA NA ZISIZOELEWEKA.

(5) HEDHI ISIYO NA MPANGILIO.

(6) UJAUZITO NA UKIPIMA HAUONEKANI.

HIZI NI BAADHI TU YA DALILI ZA UCHAWI. LAKINI BASI NA TUANGALIE VIPI MTU ATAJITAMBUA KUWA NA SHETANI.

(1) KUUMWA NA KIZUNGUZUNGU.

(2) TUMBO KUUMA SANA HASA CHINI YA KITOVU.

(3) KICHWA KUUMA KWA VIPANDE.

(4) KUSHTUKA NA MOYO KWENDA MBIO.

(5) MWILI KUSHIKA MOTO.

(6) TUMBO KUUMA SANA KIPINDI CHA HEDHI

(7) MAUMIVU WAKATI WATENDO LA NDOA.

(8) KULIA BILA SABABU NA KUTINGISHIKA.

(9) MWILI KUWA MZITO NA KUWA NA HASIRA.

(10) KUTEMBEWA NA VITU MWILINI

(11) KUTAMANI KUACHWA NA KUACHA.

(12) KUWA NA KAULI MBAYA

(13) MWAUMIVU CHINI YA UTI WA MGONGO.

(14) MOYO KUUMA KAMA ANANYONYESHA

(15) KUOTA UNAFANYA JIMA (MUME=MKE)

(16) KUOTA UNAZAA, UNANYONYESHA.

(17) UKIOTA JIMAITU MIMBA INATOKA.

(18) JINAMIZI, USINGIZINI, NA USINGIZI MWINGI

(19) KUOTA UNAPAA.

(20) KUSIMAMIWA NA MTU NA UKIGEUKA HAYUPO.

(21) MAGOMVI KILA MARA KWENYE NDOA.

(22) KUPOTEZA VITU KAMA PESA, MIKUFU, HATA UKIFICHA

(23) KUCHANGANYIKIWA NDANI YA SWALA.

(24) KUTOPENDA KUJIPAMBA KWA AJILI YA MUME.

(25) KUMCHUKIA MUME AU MKE.

(26) KUOTA UNAINGILIWA KINYUME CHA MAUMBILE.

(27) MARINGO NA KUJIVUNA.

(28) KUHISI UNAINGILIWA SIO NDOTONI.

HIZO NI BAADHI YA DALILI ZA MTU MWENYE SHETANI ENDAPO UTAJIGUNDUA KAMA UNA MIONGONI BASI WASILIANA NA MIMI

NIKUPATIE TARATIBU ZA TIBA.
 
mwenzangu mbona kama dalili nyingine zinafanana na magonjwa ya kawaida bana!kuacha izo ndoto..me kwa ndoto huwa nyingi I WIN..na huwa hasa nikiangalia scary movie af niwe mwenyewe..ntajiziba na mito ila nitaota ile movie.!!.maana basi wengi tutakuwa tumelogwa wengi.
Ila mi naamini ukisali af ukaamini hayakukuti ng'o:wink2::wink2:
 
Tiba yako ni ya kiganga au ni Maombi through JESUS Christ?. Maana waganga nao wanatumia mashetani. Sasa shetani + shetani = kifo. Jesus is the Way, The Truth and Life
Wahubirie hivyo wajue.
Matibabu yangu mimi huwa ninatumia dawa za Mitishamba na Dua kwa Waislam na Maombi kwa ndugu zangu Wakristo. ninatumia dua kwa kutumia Quran na ninatumia Maombi kwa kutumia Biblia Takatifu. Mfano wa dawa zangu hizi hapa

attachment.php

mwenzangu mbona kama dalili nyingine zinafanana na magonjwa ya kawaida bana!kuacha izo ndoto..me kwa ndoto huwa nyingi I WIN..na huwa hasa nikiangalia scary movie af niwe mwenyewe..ntajiziba na mito ila nitaota ile movie.!!.maana basi wengi tutakuwa tumelogwa wengi.
Ila mi naamini ukisali af ukaamini hayakukuti ng'o:wink2::wink2:
Matibabu yangu sio ya kubahatisha kabla ya kukutibu ninakwambia

nenda ukajitibie hospitalini kaangalie Damu,X-RAY na kapime mkojo ukisha aangalia kama maradhi haya onekani kwenye hivyo vipimo

ndio ninakutibu matatizo yako utakuwa umerogwa au umekumbwa na pepo wachafu kwa kiswahili cha watu wa pwani umekumbwa na

Mashetani. Unaweza kuumwa na kichwa ukaenda Hospitali kujitibia na hukupona ndipo ukija kwangu ninakutibia hicho kichwa chako

na ukapona bibie upo pamoja na mimi lakini?
 
Attachments

  • Spices za unga.jpg
    Spices za unga.jpg
    391.3 KB · Views: 887
  • Spices.jpg
    Spices.jpg
    11.8 KB · Views: 8,060
  • Spice_Tiles1.jpg
    Spice_Tiles1.jpg
    138.5 KB · Views: 8,743
Matibabu yangu mimi huwa ninatumia dawa za Mitishamba na Dua kwa Waislam na Maombi kwa ndugu zangu Wakristo. ninatumia dua kwa kutumia Quran na ninatumia Maombi kwa kutumia Biblia Takatifu. Mfano wa dawa zangu hizi hapa

attachment.php

Matibabu yangu sio ya kubahatisha kabla ya kukutibu ninakwambia

nenda ukajitibie hospitalini kaangalie Damu,X-RAY na kapime mkojo ukisha aangalia kama maradhi haya onekani kwenye hivyo vipimo

ndio ninakutibu matatizo yako utakuwa umerogwa au umekumbwa na pepo wachafu kwa kiswahili cha watu wa pwani umekumbwa na

Mashetani. Unaweza kuumwa na kichwa ukaenda Hospitali kujitibia na hukupona ndipo ukija kwangu ninakutibia hicho kichwa chako

na ukapona bibie upo pamoja na mimi lakini?
nimekusoma..ila haumwi mtu hapa... lol
 
Mkuu MziziMkavu naomba kujua kwa nini sisi wakristo tunakemea majini yamtoke mtu lakini yanachelewa na hasa mwathirika akiwa mwanamke?Pia kwa kutumia dawa zako na maombi kibiblia mashetani yanamuhama mtu kwa mda gani?Pia mashetani yakimuhama mtu yanakwenda wapi?
 
Mkuu Benokolongokonongose Kwa Maombi matupu kwa kutumia Biblia au Quraan huwezi kumuondowa Shetani

mwilini mwa mtu itabidi utumie na Dawa za Tiba Mbadala na mwisho wa matumizi ya dawa ndipo unaweza kutumia Vitabu

vitakatifu yaani Biblia na Quran ndipo unaweza kumuondowa shetani Pepo mbaya mwilini mwa mtu. Mimi huwa

ninamuondowa mtu shetani kwa njia hiyo na dawa zangu huwa anatumia mgonjwa kwa muda wa siku 21 atakuwa

amekwisha kupona.

Shetani anamuingia mtu kwa siku moja baada ya siku 3 hutengeneza

nyumba yake ndani ya tumbo la bindamu ndipo hukaa huko shetani na kuanza kumu uguza huyo bindamu sasa huwezi

kusoma Biblia na Qurani ndipo umuondowe ndani ya nyumba yake pasipo na kutumia Dawa za tiba mbadala.

Utakapotumia Dawa za tiba mbadala ndipo itakuwa rahisi kusoma vitabu vya Mungu Biblia na Quran kumuondowa huyo

Shetani tena kwa njia rahisi kabisa ndivyo hivyo ninavyo tumia mimi. Akitokea mtu akikwambia anaweza kumondowa

shetani kwa kumsomea vitabu vya Mungu yaani Biblia na Quran pasipo na kutumia dawa za tiba mbadala atakuwa huyo

mtu ni muongo anataka kukutapeli kuwa muangalifu sana.
 
aisee! hii kali! ila mi naamini Jesus Christ hachakachuliwi maana ni yeye aponyaye na amejitosheleza bila mchanganyo wowote mana hata mashetani yanamjua.Luka 4:31-35
Je ukirogwa unaweza kumuomba YESU akiondolee huo uchawi uliorogwa?
 
Mzizi mkavu hakuna tiba jumlisha tiba by means mitishamba + biblia iyo kitu hakuna awezae kuondoa uchawi ni yule aliyeumba hiyo miti shamba, pamoja na sisi binadamu! so mungu kama mungu hajumlishwi na alivyoviumba kumponya mtu aliyemuumba! GRORY BE TO GOD!
 
Allah Has NotRevealed A DiseasewithoutTreatment.... (Prevention is Better Than Cure)
 
Akitokea mtu akikwambia anaweza kumondowa

shetani kwa kumsomea vitabu vya Mungu yaani Biblia na Quran pasipo na kutumia dawa za tiba mbadala atakuwa huyo

mtu ni muongo anataka kukutapeli kuwa muangalifu sana.
Unamtoa shetani kwa jina LA Yes kristo aliye hai na anatoka bila dawa na harudi sala ziendeleapo kwa muhusika unaporuhusu ufalme wa Mungu uingie basi ufalme wa giza lazma upishe hakuna cha dawa mganga mkuu ni Yeah kristo na si mwingine
 
Back
Top Bottom