Dalili nyingi mwilini na vipimo sijapata

Dalili nyingi mwilini na vipimo sijapata

Dogo,waskutishe ,hyo sio kansa...hyo itakua diabetes/kisukari..we jarib kuanza diet za wenye kisukar utaona unapata nafuu
 
nenda kapime kisukari na kansa na uti malaria pia kumbuka minyooo kama huna tabia ya kula vidoge vya minyoo minyoo husumbua mwili na unahisi kila maumivu
 
RBG kwa zahanati za kawaida hizidi dk 10 unapata majibu na gharama yake haizidi 5000
 
nenda kapime kisukari na kansa na uti malaria pia kumbuka minyooo kama huna tabia ya kula vidoge vya minyoo minyoo husumbua mwili na unahisi kila maumivu
nashukuru, hivi ni muhimbili pekee ndo waotoa vipimo vikubwa ?
 
Kuwa na daktari mmoja atakaye fuatilia historia ya matatizo yako badara ya kubadili madaktari mara kwa mara
 
A
Usijikatae mwenyewe mkuu hujajaribu muombe mungu atakupatia huyo doctor unajua doctor akikuona zaidi ya mara moja huweza kukufuatilia kujua nini hasa tatizo lako sio pesa zako jaribu mkuu
Asante ntajaribu
 
Back
Top Bottom