Dalili nyingi mwilini na vipimo sijapata

Dogo usilalamike sana kuhusu gharam vipimo.ulivyoshauriwa havizid elfu 15,, kweli ndugu wote na majaran na marafiki hawawez kukuchangia?
pamoja kaka, ila bro mpaka nimeamua kutumbukiza tatizo lang humu, ujue am suffering, najiona sina bahati, nimechoma hela hospitalini napata nafu wiki kazaa, homa zinaludi, lakini hii ya sasa kali, kwa hizi dalili mpaka natamani nipate vipimo vikubwa cha mwili mzima tatizo pesa
 
Weka hata smart phone yako bond,, ama fungua uzi wa kuomba msaada
 
pamoja kaka, ila bro mpaka nimeamua kutumbukiza tatizo lang humu, ujue am suffering, najiona sina bahati, nimechoma hela hospitalini napata nafu wiki kazaa, homa zinaludi, lakini hii ya sasa kali, kwa hizi dalili mpaka natamani nipate vipimo vikubwa cha mwili mzima tatizo pesa
Sawa bro ntajaribu,
 
Back
Top Bottom