Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😂yaan vikorokoro kibaoUkichokwa dah tabu sana yaani inakuwa kama mgonjwa asiyena radha mdomoni, ukimpa uji anataka chai, ukimpa chai anataka maji balaa.
2. Mwenza/mpenzi kupunguza ama kuacha kabisa kuhudumia kimahitaji mwenzie.
3. Kukulinganisha na kukutoa kasoro ambazo mwanzo kwake zilikuwa ni sawa.
Yaani mwanaume unanuka kwapa bora mbususu yangu nikampe mbwa/ yaani mwanamke gani hujui kupika ugali, unapika ugali mgumu kuliko maisha yangu.
#kasheshe
Kwa hiyo umeamua kuja kuipata furaha JF?Ukiachilia maumivu bas umeruhusu mwanya wa kuzoewa tena... Mimi na ex ni sawa na Marioo na song lake....bora kufa
Ukipigwa simu huyu nae zombie anapiga ovyoooyvoYaan kakuchoka au hajawahi kukupenda na aliingia kwenye ndoa akiwa na malengo yake
Mi naanza na;
1. Kosa dogo tu kakasirika au kudai talaka kabisa.
2.
3.
4.
5.
6.Nakuendelea....
Kupopolewa ruksa maana katika maisha lazima upokee hasi na chanya.
Namba 4 ngoja atuthibitishie DeepPond 😂Ukipigwa simu huyu nae zombie anapiga ovyoooyvo
3: Ukimuomba game em usinisumbue unaendekeza ngono tu
4: Mama J maji ya kunywa Yako wapi
Yako chooni
5: Hivi humu ndani mbona chakula kinachelewa kuiva
Ungewai kuja mapema ukapika mi sio house girl wako
6: Mam j nipo njian na rfk zangu tunakuja hapo nyumbani
eeeeeeh wewewe hiii nyumba sio chooo kwamba kila malaya wenzio waingie hapa ndani mfyuuuuuh
7: Jumapil twende kwa nyumbani kwetu tukasalimie ukamuone
Ww siuende mwenyewe me Sina hamu ya kusalimia mtu