stabilityman
JF-Expert Member
- Jul 9, 2024
- 857
- 1,810
hospital kwanza daktari akushauri cha kufanyaMbona tunaaswa kumywesha maziwa au kinyesi mtu aliyelishwa sumu ili atapike ile sumu kupunguza makali.!
Atafia njiani msipomtapisha sumu mkuu, lazima upunguze sumu kwa maziwa au kinyesi, yasipokuwepo maziwa option ya mwisho ni kinyesi otherwise mnazika mtu.hospital kwanza daktari akushauri cha kufanya
Hapo kwenye kinyesi fafanua mkuuAtafia njiani msipomtapisha sumu mkuu, lazima upunguze sumu kwa maziwa au kinyesi, yasipokuwepo maziwa option ya mwisho ni kinyesi otherwise mnazika mtu.
Hii ya kinyesi ndiyo nimeisikia leo.kinyesi Cha mtu au Cha ng'ombe?Atafia njiani msipomtapisha sumu mkuu, lazima upunguze sumu kwa maziwa au kinyesi, yasipokuwepo maziwa option ya mwisho ni kinyesi otherwise mnazika mtu.
Mbona nanii ilidunda sasaDalili za mtu aliyewekewa sumu kwenye chakula hutegemea aina ya sumu iliyotumika, lakini kwa ujumla dalili kuu zinazoweza kuonekana ni:
1. Dalili za Haraka (dakika hadi saa chache):
- Kichefuchefu na kutapika sana
- Maumivu makali ya tumbo
- Kuharisha (wakati mwingine damu ikitoka)
- Kizunguzungu au kupoteza fahamu
- Kutokwa jasho jingi au baridi ya ghafla
- Mapigo ya moyo kwenda haraka au polepole sana
- Mdomo kukauka au kutoa povu
2. Dalili za Muda wa Kati hadi Mrefu:
- Udhaifu wa mwili usio wa kawaida
- Maumivu ya kichwa makali
- Uoni hafifu au kutoona kabisa (hasa kwa sumu ya methanol)
- Ngozi au macho kuwa na njano (ishara ya ini kushambuliwa)
- Mabadiliko ya tabia au kuchanganyikiwa
3. Dalili za Hatari Zaidi:
- Kushindwa kupumua vizuri
- Kushindwa kwa figo au ini
- Koma (coma) au kifo
Muhimu:
Ukihisi mtu amewekewa sumu:
- Mpeleke hospitali haraka
- Usimpe chakula au dawa yoyote kabla ya ushauri wa daktari
- Jaribu kubaini alichokula/kunywa
Matibabu ya sumu yanatakiwa kufanyika haraka, hivyo kuchelewa kunaweza kuwa hatari.
Cha mtu boss.Hii ya kinyesi ndiyo nimeisikia leo.kinyesi Cha mtu au Cha ng'ombe?
Kinakorogwa unanyweshwa kinaenda ku-dilute sumu.Hapo kwenye kinyesi fafanua mkuu
kwahyo hapo ni kwa sababu ya kinyes kinakua na nyongo auKinakorogwa unanyweshwa kinaenda ku-dilute sumu.
Roho mbaya, na kuna watu wana roho ya mnyamaKwa nini umpe binadamu mwenzio sumu