Mara mtu umefanya utafiti Muhimbilina wagonjwa. Sasa ushasema mtu sio mgonjwa mara upo kwa wagonjwa.
Unachoongea hapa ni mental disorders these are anxiety, depression etc. Wagonjwa lazima wanakuwa na hof hasa wale wanajua wanakufa.
Its tough hasa wakiwa wanawaza watoto wao n wapendwa wao etc. Sio jambo dogo na masihara. Mwenye nguvu ni ya kutoa uhai na kifo ni Mwenyezi Mungu pkee yake.
Usidhani ukiamka ni nguvu zako. Hapana, ni nguvu na rehema kutoka kwakwe aliye juu. Hakika sio kwa nguvuu zetu.