Small Axe
JF-Expert Member
- Dec 17, 2016
- 652
- 464
Kwani wewe ni Mshana JrMimi ni mtafiti wa Sanaa ya kifo art of death naongea from the experience
Hatukuamini dhihilisha taaluma yako
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani wewe ni Mshana JrMimi ni mtafiti wa Sanaa ya kifo art of death naongea from the experience
Acha uongo kiongozi.Wastani wa wiki tatu au chini ya hapo
Mimi ni mtafiti wa Sanaa ya kifo art of death naongea from the experience
Unatutisha bora ukae kimyaMimi ni mtafiti wa Sanaa ya kifo art of death naongea from the experience
1&6 ndio zaidi1. Kuonea watu aibu
2.Haangalii watu machoni
3.Akitembea huangalia chini
4.Wasiwasi usio na sababu
5.Hofu
6.Mpweke wa nafsi muda wote
7.Mabadiliko ya ghafla ya tabia. (Aweza kuwa mkali au mpole)
8.Hupenda kukamilisha Jambo alifanyalo haachi kiporo Mara nyingi wanahisi Kuna Jambo kubwa litamtokea muda si mrefu hivyo ni kama wanajiandaa.
Ukiona dalili hizi kwa binadamu ambae haumwi kabisa ujue niagieni inagonga hodi.
Mshana Jr upooooo?
Ukweli wangu mbele za mungu hizo sifa zote ulizo zlist hapo juu mm ninazo:1. Kuonea watu aibu
2.Haangalii watu machoni
3.Akitembea huangalia chini
4.Wasiwasi usio na sababu
5.Hofu
6.Mpweke wa nafsi muda wote
7.Mabadiliko ya ghafla ya tabia. (Aweza kuwa mkali au mpole)
8.Hupenda kukamilisha Jambo alifanyalo haachi kiporo Mara nyingi wanahisi Kuna Jambo kubwa litamtokea muda si mrefu hivyo ni kama wanajiandaa.
Ukiona dalili hizi kwa binadamu ambae haumwi kabisa ujue niagieni inagonga hodi.
Mshana Jr upooooo?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mtumishi ambae hajapata nyongeza ya mshahara zaidi ya miaka 5.
Nilishuhudia watu 20 wakifa pale muhimbili na mmoja alinifia mkononi kwenye vyoo vya kibasila wakati namkalisha kwenye kiti Cha plastic kilichotobolewa tundu KATIKATI
Kifo ni Fumbo ambalo hakuna anaeweza kulitatua1. Kuonea watu aibu
2.Haangalii watu machoni
3.Akitembea huangalia chini
4.Wasiwasi usio na sababu
5.Hofu
6.Mpweke wa nafsi muda wote
7.Mabadiliko ya ghafla ya tabia. (Aweza kuwa mkali au mpole)
8.Hupenda kukamilisha Jambo alifanyalo haachi kiporo Mara nyingi wanahisi Kuna Jambo kubwa litamtokea muda si mrefu hivyo ni kama wanajiandaa.
Ukiona dalili hizi kwa binadamu ambae haumwi kabisa ujue niagieni inagonga hodi.
Mshana Jr upooooo?
Nakubaliana na wewe kwa aslimia mia mojaSiri ya Kifo Ajue Mwenyezi Pekee Nandio Maana Akafanya Siri
Hakuna Ajueae Kifo sio Mchawi Wala mganga Maana wao hawaui Bali wanachukuwa msukule.
Hiidhana iache iende Kama Ilivyo Kifo nisiri Walio shindwa wabobezi na wabobezi enzi na Enzi za mitume manabii na wachawi wakubwa Duniani kina firaauni nk
Sent using Jamii Forums mobile app
Watu wanaotoka wanagongwa na magari huko, wanapatwa na heart attack wakiwa guest, wanakunywa sumu nao wana hizo dalili? Ni mara chache sana kifo husema jiandae soon nakuja, hata wale mahututi huwa na matumaini hawatakufa.Mimi ni mtafiti wa Sanaa ya kifo art of death naongea from the experience