Dalili za mtu anayekaribia kufa ambaye sie mgonjwa

Dalili za mtu anayekaribia kufa ambaye sie mgonjwa

Mtumishi ambae hajapata nyongeza ya mshahara zaidi ya miaka 5.
 
1
1. Kuonea watu aibu

2.Haangalii watu machoni

3.Akitembea huangalia chini

4.Wasiwasi usio na sababu

5.Hofu

6.Mpweke wa nafsi muda wote

7.Mabadiliko ya ghafla ya tabia. (Aweza kuwa mkali au mpole)

8.Hupenda kukamilisha Jambo alifanyalo haachi kiporo Mara nyingi wanahisi Kuna Jambo kubwa litamtokea muda si mrefu hivyo ni kama wanajiandaa.

Ukiona dalili hizi kwa binadamu ambae haumwi kabisa ujue niagieni inagonga hodi.

Mshana Jr upooooo?
1&6 ndio zaidi
 
Ukweli wangu mbele za mungu hizo sifa zote ulizo zlist hapo juu mm ninazo:

Na azija anza jana wala juzi kitambo kidgo ila bado sija pass away japo shida niliyopo nayo ni mara nyingi napenda sana kukaa peke yngu na kuwaza sana kuhusu kifo au kujiua mwenyew bila sababu
 
Na mtu akiwa anasikiliza maikrofoni sikioni nini kinamnyemelea?
 
1. Kuonea watu aibu

2.Haangalii watu machoni

3.Akitembea huangalia chini

4.Wasiwasi usio na sababu

5.Hofu

6.Mpweke wa nafsi muda wote

7.Mabadiliko ya ghafla ya tabia. (Aweza kuwa mkali au mpole)

8.Hupenda kukamilisha Jambo alifanyalo haachi kiporo Mara nyingi wanahisi Kuna Jambo kubwa litamtokea muda si mrefu hivyo ni kama wanajiandaa.

Ukiona dalili hizi kwa binadamu ambae haumwi kabisa ujue niagieni inagonga hodi.

Mshana Jr upooooo?
Kifo ni Fumbo ambalo hakuna anaeweza kulitatua
 
Siri ya Kifo Ajue Mwenyezi Pekee Nandio Maana Akafanya Siri

Hakuna Ajueae Kifo sio Mchawi Wala mganga Maana wao hawaui Bali wanachukuwa msukule.

Hiidhana iache iende Kama Ilivyo Kifo nisiri Walio shindwa wabobezi na wabobezi enzi na Enzi za mitume manabii na wachawi wakubwa Duniani kina firaauni nk

Sent using Jamii Forums mobile app
Nakubaliana na wewe kwa aslimia mia moja
 
Kuna mwamba alikuwa mchangamfu sana badae ghafla akawa mpole akaanza kukonda hakuchukua round jamaa alifariki mpaka leo sijajua nini ilikuwa tatizo japo watu wanasema alipata ngoma.
 
Mimi ni mtafiti wa Sanaa ya kifo art of death naongea from the experience
Watu wanaotoka wanagongwa na magari huko, wanapatwa na heart attack wakiwa guest, wanakunywa sumu nao wana hizo dalili? Ni mara chache sana kifo husema jiandae soon nakuja, hata wale mahututi huwa na matumaini hawatakufa.
 
Back
Top Bottom