Dalili za Mtu Mwenye IQ Ndogo Kwenye Mitandao ya Kijamii na Jamii kwa Ujumla – Je, Utamjuaje?

Dalili za Mtu Mwenye IQ Ndogo Kwenye Mitandao ya Kijamii na Jamii kwa Ujumla – Je, Utamjuaje?

Mkuu usiseme wewe ni Kilaza, Incase you do things logically, problem-solving, adaptability, creativity, fast learning, deep thinking, curiosity, memory, pattern recognition(puzzle), critical thinking, abstract reasoning, emotional intelligence(EQ), linguistic ability, mathematical ability, strategic thinking, observational skills, and innovative thinking.

You are one of among people with highest IQ
Then thanks
 
Mambo ya IQ ni nadharia tu hizo, unaongelea personalities za watu.Ubishi, upole, ukorofi, hasira, unyamazifu,ujuaji, kisebusebu n.k ni hulka za watu na ndo zinatofautisha mtu na mtu na kufanya hii dunia iwe tamu.
 
Habari wadau wa JamiiForums,
.

Dalili za Mtu Mwenye IQ Ndogo Kwenye Jamii kwa Ujumla
  • Hapendi kusoma vitabu wala kujifunza: Haoni thamani ya kuongeza maarifa mapya.
Sasa wewe mwenye IQ Kubwa unayesoma vitabu umeshindwa kabisa kutuambia IQ ni nini?
Inapatikanaje? Aina za IQ.
Kwako wewe yeyote anayesoma vitabu ana IQ Kubwa, kwamba ndiyo sehemu ya kujifunza. Sawa! Vitabu Vya Aina gani? Kuna vitabu pia Vya udaku. Je, Mimi ambaye sisomi vitabu ila Nina njia zangu za kuongeza maarifa na kujifunza vitu vipya, nitakuwa bado Nina IQ Ndogo?
Kumbuka: kwa maisha ya sasa, Elimu inapatikana ktk vyanzo mbalimbali, Siyo vitabu Tu.

IQ Ni kipimo kilichogunduliwa France miaka mingi iliyopita, kwa malengo Maalumu. Sidhani kama Ni kipimo sahihi kwa nyakati za sasa. Maoni yangu.
 
IQ na EQ au (EI)

Nachojua unaweza kuwa na IQ kubwa Ila ukazidiwa mbali na mtu mwenye EI kwakuwa unavyodili na mihemko yako asilimia kubwa ndo inakutambulisha kwa watu na kukujenga zaidi.

Mfano una IQ kubwa imekufanya umepata Biashara Ila ukosefu wa EI unakupelekea unashindwa kujenga mahusiano bora na wateja wako unaishia kuwa na hasira zisizo na mwisho na baadae unakosa wateja

So IQ is nothing ukiwa una EI ndogo
 
Mkuu usiseme wewe ni Kilaza, Incase you do things logically, problem-solving, adaptability, creativity, fast learning, deep thinking, curiosity, memory, pattern recognition(puzzle), critical thinking, abstract reasoning, emotional intelligence(EQ), linguistic ability, mathematical ability, strategic thinking, observational skills, and innovative thinking.

You are one of among people with highest IQ
Mh ! Mtu kakwambia yeye ni kilaza halafu unamuandikia kimombo kweli mtaelewana ?!
 
IQ na EQ au (EI)

Nachojua unaweza kuwa na IQ kubwa Ila ukazidiwa mbali na mtu mwenye EI kwakuwa unavyodili na mihemko yako asilimia kubwa ndo inakutambulisha kwa watu na kukujenga zaidi.

Mfano una IQ kubwa imekufanya umepata Biashara Ila ukosefu wa EI unakupelekea unashindwa kujenga mahusiano bora na wateja wako unaishia kuwa na hasira zisizo na mwisho na baadae unakosa wateja

So IQ is nothing ukiwa una EI ndogo
Tufafanulie IQ na EQ na EI ni vitu gani kwa kiswahili na tafauti yake ni nini?!
 
1. Mada za ngono muda wote
2. Mada za Simba na Yanga muda wote
3. Kuitetea Chadema muda wote (angekuwa na high IQ angeshatambua kwamba vyama vyote pinzani vikuvyofanikiwa kuchukua madaraka barani hapa viliishia kuwa pande ya pili ya safari moja na uongozi mkongwe ulioondolewa)
Wa kwanza huyu. Tuendelee kuhesabu.
 
Tufafanulie IQ na EQ na EI ni vitu gani kwa kiswahili na tafauti yake ni nini?!
IQ ndo ile akili ya kusoma na kuelewa, kukariri , n.k

EI -ni uwezo wa kuzijua hisia zako na za watu wengine na Ku deal nazo kwa njia chanya

Mfano wewe unaweza kuwa una IQ kubwa Ila ukakosa EI mwisho ukawa unatawaliwa na hasira ,kupanic, wivu chuki n.k hivyo ikakupelekea kutokuwa na mahusiano mazuri na watu na kikawaida tunahitaji Sana watu ili kuendesha Kazi , Biashara n.k

Waweza kusoma zaidi Ila EI means (Emotional intelligence ).

Na IQ means ni intelligence Quotient

Hata ukiangalia mitandaoni asilimia kubwa hasa waswahili hawana hiyo inaitwa EI na katika jamii zetu za kiswahili pia
 
Thanks
 
Dhana nzima ya IQ ni potofu.

Iko subjective. Pia Intelligence si kitu kimoja, hivyo haipimwi kwa kipimo kimoja.

Mfano, mtu anaweza kuwa na akili sana ya kujua mambo mengi, lakini hana akili ya kujali watu ni mshenzi.

Huyo utasema ana IQ kubwa kwa sababu anajua mambo mengi au IQ ndogo kwa sababu ni mshenzi?
 
Kama mashabiki wa timu fulani waliambiwa na TFF mechi imeahirishwa lakini wakashawishiwa na viongozi wao wenye IQ ndogo zaidi kuliko mashabiki hao wakaenda kujaa uwanjani. Matokeo akafa mmoja
Kafa shabiki mmoja? Ilikuwaje?
 
Back
Top Bottom