Dalili za mume anayetembea na "house girl"


You are very clever!! Yaani ukiendekeza hayo, na si kwa wanawake tu, hata wanaume, maisha kwa ujumla yatakuwa hayana raha tena. Utaandamwa na msongo wa mawazo usiokuwa na sababu!
 
I am speachless... hayo majukumua ya kumchunga mume tu yamenichosha, leave alone taking care of the house itself and children....
 
Sidhani kama nitakuwa nina muda huo. Nitakuwa bize na wanangu na kazi na kanisani na social activities siwezi chunga binadamu mwenzangu kihivyo
 
Siku hizi hamna ndoa, ni ndoano. Watu wanaishi kama wanaigiza vile. Sasa baba mwenye nyumba kwa kabinti ka kazi unafata nini?
Hujui tu wewe, bora ukae kimya tu.
 
Haloo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…