Watu wazima hawafanyi hayo?πUtoto raha sana
Daah aisee wandewa ndo hawa sasa!!π€£We akikutunuku chapa, akupende asikupende, we chapa.
Mie akinipa UTELEzi tu nahesabia ananipenda
Tupo mkuuMadomo zege wote tukutane hapa tafadhali
Ataumiza kichwa chake bureAcha kujichosha bro, hayanaga formula haya.
Ww kama umempenda kuwa nae tu.
SanaaaπMkiongea ukamchekesha anapenda kukupiga kakofi ππ
ππππππAtaumiza kichwa chake bure
Nimekuwa nikijiuliza Sana kuhusu dalili za mwanamke anaekupenda unamjua kwa ishara zapi?
Mimi ninayofahamu ni tabia ya kuwa na tabasamu unapokuwa nae, vipi kuhusu body language yake......?
Hii aikamate sana hii.Mkiongea ukamchekesha anapenda kukupiga kakofi ππ
ππ€£ Sasa hata kama hakupendi akikupa UTELEzi itakuwa haipenyi!?Daah aisee wandewa ndo hawa sasa!!π€£
Ni MimiπππMkiongea ukamchekesha anapenda kukupiga kakofi ππ