Dalili za mwanamke anaekupenda

Dalili za mwanamke anaekupenda

Ni kama kweli unauhakika amekuzaa na pia Pima dna.hakuna mwingine
 
Nimekuwa nikijiuliza Sana kuhusu dalili za mwanamke anaekupenda unamjua kwa ishara zapi?

Mimi ninayofahamu ni tabia ya kuwa na tabasamu unapokuwa nae, vipi kuhusu body language yake......?


Wengine tunaanza usiku wa manane
 
Daah aisee wandewa ndo hawa sasa!!🤣
😂🤣 Sasa hata kama hakupendi akikupa UTELEzi itakuwa haipenyi!?

We chapa masuala ya kupendana ni mambo ya njiwa hayo.🤣
 
Back
Top Bottom