Mlimani health center
JF-Expert Member
- Nov 25, 2021
- 595
- 1,490
Akikwambia "afu wewe" zaidi ya mara tano tofaut tofaut kwenye chattings zenu ...andaa geto pia nunua condom kabisaNimekuwa nikijiuliza Sana kuhusu dalili za mwanamke anaekupenda unamjua kwa ishara zapi?
Mimi ninayofahamu ni tabia ya kuwa na tabasamu unapokuwa nae, vipi kuhusu body language yake......?
Shukran kwa maoni yako Benny Haraba lakini hujajibu swali langu.money speaks louder than words, kwakifupi km huna kipatato ,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,utakesha kupata mpenzi tafuta hela hao wapenzi watakuja wenywewe
Una umri gani samahani lakini siyp kwamba tunashindwa kugonga kwenye msumari ila mwisho wa siku hatuwezi kukubarika kwenye jamiiShukran kwa maoni yako Benny Haraba lakini hujajibu swali langu.
Ukikutana naye njiani au?Kila "ukikutana" nae ,drama ya mimba ujue IPO njiani haijalishi wapi "utamiminia"
Ndiyo; anapenda helaIvi bar maid nae anapenda?
Ni kinyume chakeKama anakuomba pesa muda wote ni dalili mojawapo.
Achana na helaNdiyo; anapenda hela
Hii kweliMkiongea ukamchekesha anapenda kukupiga kakofi 😂😂
Anapenda Nini?Achana na hela
Upendo wa kimapenzAnapenda Nini?
Hata sijui aiseeUpendo wa kimapenz
Ukiwa na pesa atakuachia yoteShukran kwa maoni yako Benny Haraba lakini hujajibu swali langu.