Dalili za mwanamke anayekupenda, ila hawezi kukuambia

Mademu wa siku hizi wengi chips funga, jaribio moja tu unabeba
 
Umenena kweli tupu lakini tatizo hili zoa zoa la utandawazi litawaacha????????? Wengine wanaoa, wengine wanakuambia siyo type yangu, wengine hana mvuto... sasa najiuliza kweli swala anachagua simba wa kumla????????
 
Hee, ebu mtuwekee na dalili za mtu anayetaka kukwepa kodi. Maana hakuna namna sasa hapa kazi tu.

Wonderful;
Dalili ya kwanza tena kubwa sana; Atatoa mchango mkuubwa sana kwa CCM na vitengo vyake. Kama vile, kuwanunulia Policcm mapikipiki, magari na hata kuwapo stika.
Kugharamia magari ya washa washa badala ya kununua zimamoto. Ukiona hivyo, jua kuna kitu kinapitishwa.
 
 
Hehehe ntakuja nimwagiwe tindikali kisa waume za watu jamani mwee. dada mtumishi sina madhara mie
lakini Heaven Sent Hayupo Hivyo
Kama unanijua vile
Kwa humu anaonekana ni mtu anayejielewa sasa sijui maisha yake nje ya JF, ila wengi ndo walewale
Ooooh
kuna siku itabidi nikupeleke ukamuone japo kwa macho.. Nishaajiweka mkuu
Teh "I'm the girl of your dreams in your dreams only"
Kwa hiyo unataka kunambia Heaven Sent ndo Shem lake
Naona anaota kweli niachike
Yeah mkuu Huyo ndio shemu wako achana na Yule mama
Teh usijisahaulishe kama I'm missus De souza
 
Last edited by a moderator:
Hizo dalili labda za watoto wa masaki, ila wa tandale hawana hizo mambo. Mtu atake ule naye chakula wakati hajui mchana au usiku atakula nini!!!

Hawa bonho movie, magufuli anatakiwa awapige marufuku maana wanaharibu akili za vijama.
 
kesho uje na wanaotumia mitandao


Nimeona picha wanasema et mama Samia Suluhu anasema makampuni ya mitandao yazimwe data zao kuanzia saa moja had kum na nusuu jioni ili wanafunzi na wafanyakazi wawe busy lol Ama kweli hapa kaz tu 😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…