Dalili za mwanamke anayekupenda, ila hawezi kukuambia

Dalili za mwanamke anayekupenda, ila hawezi kukuambia

Umenikoshaaa sanaaaa na hizi dalili. Na kwa msichana mwenye upendo wa dhati ambaye anatamani kuwa na future na mwanaume fulani pasipokuweka kigezo cha pesa mbele haya yote ni ya kweli. Ila umenichekesha namba tatu hilo la kucheka kwa nguvu hapana aisee atajifanya kutabasamu tu hata kama umemuudhi ama kupotezea ama kutabasamu hata uongeapo pumba.

Bado naamini mapenzi ya kweli yapo pasipo kuweka kigezo cha pesa mbele as others think.

I support you
 
DALILI za mwanamke anae kupenda na ana shndwa ku kwambia. .

1.SALAMU NYINGI
2.YUPO TAYARI KU KUSAIDIA KWA JAMBO LA NDAN YA UWEZO WAKE
3.HATO PENDA KU FAHAMU AU KUSIKIA MAOV YAKO
4.ANA KUJALI ZAIDI YA MPENZI WAKO
5.HUKI MWAMBIA JAMBO ANA KUSIKILIZA KWA MAKINI HLI AWEZE KU KUELEWA
6.HATO PENDA KU JIUSISHA NA MASWALA AMBAYO AME GUNDUA WEWE HAUYA PENDI
7.KAMA UKI KOROFISHANA NAE NI MWEPEC KUOMBA MSAMAHA HATA KAMA WEWE ULI KOSEA
8.ZAWADI HAZI KAUKI YANI YEYE KILA HAKI ENDA MAHALA ANA RUDI NA ZAWADI YAKO SPECIAL(MAALUMU)

9.ANA PENDA KUONGOZANA NA WEWE HAITO JALI NI MAHAL GANI
10.ATA KUONYESHA WAZI WAZI KAMA ANA KUPENDA HLA NI MGUMU KU ELEZA na ANA UMIA SANA MOYONI MWAKE PINDI ANA KUONA NA MWANAMKE MWINGNE...
 
Navyojua mm mwanamke anayekupenda mnooo.....itatokea at tyms she z checking u out....nd when u notice her she quickly looks some other place......

They care too much from within...at tyms ukiongea nae utaona anakusikiliza but hakuangalii usoni nd gets too calm and talks wit u in a very respectful tone but akiwa na wenzake ni muongeaji sanaa.

Ni vitu vingi tu (im tired of typing)

Ukitaka mkata maini azidi changanyikiwa mfate ikiwa una shida and tell her she z tha one u trust and u think she z tha only one to help u out.
 
Wanawake wa siku hizi wanakuchana tu live..."Watu wengine mnapendwa mnajishaua shaua tu" na atasema kama utani ila ndo reality show hiyo...Ni wewe tu kushika mkono nakutafuta nyumba ya wageni iliyo karibu na wewe..

Changu hilo. We are talking about women wit standards bruv. Tehe
 
Kumbe nimependwa na wengi bila mimi kujua
 
Wanawake wa siku hizi wanakuchana tu live..."Watu wengine mnapendwa mnajishaua shaua tu" na atasema kama utani ila ndo reality show hiyo...Ni wewe tu kushika mkono nakutafuta nyumba ya wageni iliyo karibu na wewe..
Hivi ni kweli Mwanaume hana namna nyingine ya kuapriciate upendo wa Mwanamke mpaka achukue chumba mkuu??????
 
Hivi ni kweli Mwanaume hana namna nyingine ya kuapriciate upendo wa Mwanamke mpaka achukue chumba mkuu??????
Itategemea upendo huo unaosema ni upi..Kuna upendo wa Kaka na Dada, kuna upendo wa Agape, kuna upendo wa kuvuana nguo kabisa...Sasa we utajua upendo wako umebase wapi kati ya hiyo...
 
Back
Top Bottom