Nelson Kileo
JF-Expert Member
- Oct 29, 2011
- 3,062
- 3,280
Watu mmngejua Kuchambua miswaada Ya Gass kama mnavyochambua Mapenzi ...duuh .
Dalili za kutaka kuchunwa
Watu mmngejua Kuchambua miswaada Ya Gass kama mnavyochambua Mapenzi ...duuh .
Atoto Mmeachana Naye
Nimeona picha wanasema et mama Samia Suluhu anasema makampuni ya mitandao yazimwe data zao kuanzia saa moja had kum na nusuu jioni ili wanafunzi na wafanyakazi wawe busy lol Ama kweli hapa kaz tu 😂
Khoo khoo....comment yako ilisuggest kitu. Miss u sana!Owh nimeguswa japo so Sana me mzima hofu kwako weee miss yah
Khoo khoo....comment yako ilisuggest kitu. Miss u sana!
Namuunga mkono.
Hahahaha
Teeh teeh...kuna gesture uliionyesha nikaona ni kama umekumbuka kitu. Nipo best, ni pilika pilika za kusaka mkate zimeongezeka. Nijulie khali yako tafadhali.Ha ha kitu gani hichoo skuon sku hizi
Aaah me staki hata maana wengine usingizi wetu upo mbali sasa asubuh nataka kujua hali yake ananitafta hanipat Kuna taarifa ya harakaa anatakiwa aipate on time data zimezimwa lol jamani wasitufanyie hivo
Teeh teeh...kuna gesture uliionyesha nikaona ni kama umekumbuka kitu. Nipo best, ni pilika pilika za kusaka mkate zimeongezeka. Nijulie khali yako tafadhali.
Alhamdulillah sijambo kabisa sjui weee
ukimuona mwambienampendaga bure tu mkuu
Nani huyo tenaaa?