Dalili za mwanamke anayekupenda, ila hawezi kukuambia

Dalili za mwanamke anayekupenda, ila hawezi kukuambia

kwa kuongezea
13.ukimuita anakuja na kusimama karibu yako zaidi.na ukijaribu kuinua mkono wako umshike bega huoni aki resist.
14.kukuita jina lako huku akilitamka kwa manjonjo flani hivi.
15.akikusogelea karibu unaona mapigo ya moyo wake yanaenda haraka haraka.
But hapo kwenye namba 3 naona kama ulipaliwa mate kidogo.
 
mleta uzi, mimi huo mwandiko wako tu........umeacharaza sana. penye A unaweka HA , Penye HA unaweka A.
 
Kazi kwel kwel. Wengine ni wagumu kama mawe tunakufa nayo moyon tu hakuna hata dalil moja utakayoiona
 
Sawa mkuu.

Na nikitaka kujua anayenipenda hapa JamiiForums?!
Atalike comment zako
DALILI za mwanamke anae kupenda na ana shndwa ku kwambia. .

1.SALAMU NYINGI
2.YUPO TAYARI KU KUSAIDIA KWA JAMBO LA NDAN YA UWEZO WAKE
3.HATO PENDA KU FAHAMU AU KUSIKIA MAOV YAKO
4.ANA KUJALI ZAIDI YA MPENZI WAKO
5.HUKI MWAMBIA JAMBO ANA KUSIKILIZA KWA MAKINI HLI AWEZE KU KUELEWA
6.HATO PENDA KU JIUSISHA NA MASWALA AMBAYO AME GUNDUA WEWE HAUYA PENDI
7.KAMA UKI KOROFISHANA NAE NI MWEPEC KUOMBA MSAMAHA HATA KAMA WEWE ULI KOSEA
8.ZAWADI HAZI KAUKI YANI YEYE KILA HAKI ENDA MAHALA ANA RUDI NA ZAWADI YAKO SPECIAL(MAALUMU)

9.ANA PENDA KUONGOZANA NA WEWE HAITO JALI NI MAHAL GANI
10.ATA KUONYESHA WAZI WAZI KAMA ANA KUPENDA HLA NI MGUMU KU ELEZA na ANA UMIA SANA MOYONI MWAKE PINDI ANA KUONA NA MWANAMKE MWINGNE...
 
Navyojua mm mwanamke anayekupenda mnooo.....itatokea at tyms she z checking u out....nd when u notice her she quickly looks some other place......

They care too much from within...at tyms ukiongea nae utaona anakusikiliza but hakuangalii usoni nd gets too calm and talks wit u in a very respectful tone but akiwa na wenzake ni muongeaji sanaa.

Ni vitu vingi tu (im tired of typing)

Ukitaka mkata maini azidi changanyikiwa mfate ikiwa una shida and tell her she z tha one u trust and u think she z tha only one to help u out.
Utumwa wa lugha.. yaani ungetumia kiswahili ingependeza sana..
 
Utumwa wa lugha.. yaani ungetumia kiswahili ingependeza sana..

Aisee hata sijui kwann ni kuzoea tu man, dnt take it like im showing off or sumthing.

Ila mi ni mzalendo haswaa...perhaps ni sababu ya kuhang out na watu wa aina flan kwa muda mrefu.
 
Aisee hata sijui kwann ni kuzoea tu man, dnt take it like im showing off or sumthing.

Ila mi ni mzalendo haswaa...perhaps ni sababu ya kuhang out na watu wa aina flan kwa muda mrefu.
[emoji119]
 
Hivi Tang'ana hujapataga pesa hadi Leo??Wewe kila topic pesa.Njoo ghetto kwangu nikupatie.
 
Kumekuwa na imani potofu kwa wanawake kwamba hawawezi kumwambia ukweli mwanaume anampenda kwanza mpaka mwanaume aanze lakini ukweli usiopingika ni kwamba wao pia hupendi na mara nyingi wao wakianza kupenda hupenda kweli kufikia stage hata ya kuhisi kuumwa. Hizi ni dalili za mwanamke anaekupenda ila anagoma kukwambia tu.

1. KUKUTEGA ILIKUJUA THAMANIYAKE KWAKO
Hufanya mambo ambayo yatamfanya kuona kama unampenda na kumthamini au la mfano wa mambo hayo ni kama kujifanya anaumwa na kauangalia respond yako kwake ni kiasi gani unamjali na kiasi gani utahangaika kwa ajili yake.

2.HUWA ANAPENDA KUKUGUSA SEHEMU YAKO YA MWILI.
Haoni aibu kugusa sehemu ya mwili wako. Msichana anayependa haoni aibu kukushika mkono ama kukutomasa au hata kukumbatia.Kwa kufanya hivyo hujua kuwa kwa asilimia kubwa hisia za kushikana kwenu kutamrahishishia kazi ya kuwa na wewe.

3. KUPENDA KUCHEKA TENA MUDA MWINGINE KWA NGUVU
Kucheka kwa nguvu hata kwa kitu kisicho chekesha endapo wewe umezungumza. Mara nyingi ataonesha uso wa furaha hata kama si furaha ya kweli.

4. WIVU
Hujisikia wivu anapokuona na wasichana wengine. Ukiwa unachart nao na ukiwaita majina ya kimahaba. Hapendi na hupenda yale afanyiwe yeye tu hata kama sio mpenzi wako.

5.HUKUMBUKA MATUKIO MUHIMU YOTE KUHUSU WEWE
Anakumbuka siku zako muhimu. Hukumbuka kama vile siku yako ya kuzaliwa hatoweza kuisahau kufanya ipite bila kukutakia heri ya siku ya kuzaliwa kama sivyo ukifauli mtihani au chochote katika maisha yako atakuwa mbele kukupongeza.

6. HUPENDA KUANGALIANANA WEWE MUDA MWINGI
Eye contact hupendelea sana kukuangalia machon muda wote ambao mtakuwa mkizungumza pamoja akidhani kuwa utamuelewa ni kiasi gani anakupenda kupitia vile anavyokuangalia. Ila wengine huona aibu kuwatazama wavulana wanaowapenda hivyo huweka jicho la wizi na kukuvizia.

8. HUPENDA KUKAANA WEWE MUDA MWINGI NA KUKUJUAZAIDI
Hupenda kukaa muda mwingi na wewe. Hawezi kupoteza hata sekunde ukimuhitaji kwa mazungumzo. Anajisikia furaha kukaa na wewe muda mrefu bila kuchoka. Anaweza akaacha kila kitu anachokifanya ili ajumuike na wewe na akikaa na wewe hupendelea sana mwanzoni kukujua wewe zaidi na hukujengea mazingira ya wewe uwemuwazi ili umwambie mengi kuhusu wewe na pia akiwa na wewe atakuwa muwazi zaidi hadi mavazi aliyovaa hupenda sana kujua yako na kukuambia yake na hupenda kujua ni mavazi gani yeye akivaa anakuvutia zaidi na atajitahidi kuwa anavaa ya style hiyo kukufurahisha.

9.YUPO TAYARI KUANGAMIZA
Kama msichana anakupenda yupo tayari kusacrifice. Ni kitu ambacho hakuna mtu ambaye anaweza akafanya kwa mtu mwingine. Utamuona vipi huyo msichana alivyo kwako na kwa wengine. Yaani yupo tayari akose lakini wewe upate na kwa mwingine anaweza akamwambia hana alichoombwa lakini akakupa wewe kama pesa na vitu vingine.

10. HUPENDA KUTATUA MIKWARUZANO YENU KWA AMANI
Mikwaruzano ikitokea katika urafiki wenu hayupo tayari kukupoteza kabla hajakwambia nakupenda.Kwa kuwa anakupenda endapo ikitokea mikwaruzano basi atafanya juu chini kuyaweka mambo sawa ili asikukose.

11. HUPENDA KUKUNUNULIAZAWADI ZA MITEGO
Mwanamke anaekupenda hupenda kujua mengi sana kuhusu wewe na hapo inamsaiia kukununulia zawadi za mitego kama boxer , na mara nyingi hupenda rangi nyeupe, au kukununulia perfume , sabuni ya kuoge ya manukato,soksi, vest, bukta, saa,raba, t-shirt. Na kama mkitoka wote mkaenda shopping ataakutega kwa kukuonyesha vitu na wewe ukionekana umependa kitu hatonunua siku hiyo ila atanunua siku inayofuata na kukuletea kama suprise.

12. KUPENDA MLE WOTE
Mwanamke anaekupenda ili akujue zaidi hupendelea msosi mle sehemu mmoja na kama ikitokea mwanaume hawezi kuhama sehemu anayokula mwanamke yupo radhi kubadili na kumfuata mwanaume hatakama sehemu hiyo yeye haipendi na kama unakula kwako basi atakutega na kuja kupika kwako ili mle na atakuwa anapenda kununua vitu vya kupika ili tu akutekena uone upendo wake.

NB: Kuwa makini, sio kila mwanamke atakaye onesha dalili hizi anakupenda kwa dhati, wengine hutaka kukuweka mtu kati ili akugagadue mpunga wako tuuu a.k.a gold digger.
"Kweri..Mapenzi matamu"
 
Back
Top Bottom