Dalili za mwanamke anayekupenda, ila hawezi kukuambia



Shomile mtalaam wa ngono on line.
 
drama za wanavyuo mnaleta hapa. wananikeraga ningekua na uwezo nawalamba bakora. mkalilie mbele wezi wa mifugo nyie
 
Siku hizi kila jambo limejaa maigizo,mtu anaweza kukuonesha yote hayo kumbe anaact tu.
 
hivi wanawake wanaopenda kumbe bado wapo?nahisi sisi tunaoishi mjini tunakosa vitu natural wengi ukipendwa kalenga
 
Safi sana kwa uzi wako! Mm kwenye NB yako ndipo pako MAKINI SANA.
 
Wadau katika pita pita zangu nimekutana Na hii he ina ukweli wowote ule?

Maana kuna vitu konki pia huo, hahaha
 
Kumbeee huwaa Kuna kabintii kanapendagaa kuniangaliaa nikimuangaliaa na mimiiii kanajifanyaa hakanaa time kanaangaliaa kwingineee baadaee ntatokeaa tenaa nionee Kama Ni kweliii basii kiulainiii
 
Ungecopy mzee utuletee mazima mambo yakuanza kufungua link ni kumalizana bundle isee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…