Trust None
JF-Expert Member
- Feb 12, 2018
- 1,260
- 4,419
Ufisadi ni nini katika tafsiri ya kiswahili?Nafikiri neno UFISADI ni kubwa mno kutumika hapo, sema tu UPIGAJI inatosha.
Wanajisafirisha wenyewe na hakuna nauli yoyote wanayopewa.Huyo msimamizi c yuko nje ya kituo.iweje alipwe pungufu.
Mbona kipindi cha uchaguzi huwa wanasambaziwa nakuku vituoni
Chadema kwa kujitoa ufahamuHao waalimu hawapaswi hata kulipwa maana walisaidia kuhujumu uchaguzi
Kama pesa ni ya serikali, itumike kama ilivyoelekezwa!Mtu alipwe kulingana na kazi yake
Yaani walimu mnatabu sana, umefanya kazi siku 5 then unataka ulipwe posho sawa mtu mwenye siku 14
Huo ni udokozi mkuu acha kushupaza shingo neno ufisadi ni kubwa mno.Ufisadi ni nini katika tafsiri ya kiswahili?
Ni serikali gani ulikwambia waliofanya kazi siku 5 walipwe sawa na hao wa siku 19?Kama pesa ni ya serikali, itumike kama ilivyoelekezwa!
Kujinufaisha ndio kunapelekea uweze kujiona wewe ndie mmiliki wa rasilimali unazozisimamia kwajili ya wengine...
Unapunguza ukali ili usionekane Fisadi!?Huo ni udokozi mkuu acha kushupaza shingo neno ufisadi ni kubwa mno.
Anahusikaje na waziri husika yupo?Tanzania kwa sasa kauli mbiu ni kwamba kila mtu anakula kulingana na urefu wa kamba yake chief hangaya hana mda huo. Leo ametua na dege lake KIA ameenda kunuku kamisheni huko munduli.watendaji wake wameshamsoma hana makuu kwasasa yeye analetewa taarifa tu na anazikubali kwa 100%
Hapana mwalimu. Ufisadi unahusu kiwango kikubwa cha fedha sio vijisenti hivi vya walimu wenye njaa.Unapunguza ukali ili usionekane Fisadi
Huo ni udokozi mkuu acha kushupaza shingo neno ufisadi ni kubwa mno.