Huo ni uongo,Wanajisafirisha wenyewe na hakuna nauli yoyote wanayopewa.
Na wao wanakubali kutumia hela zao? Wao ndio wanaufuga huo ufisadi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huo ni uongo,Wanajisafirisha wenyewe na hakuna nauli yoyote wanayopewa.
Ninashauri malipo ya mitihani wasimamizi walipwe moja kwa moja na NECTA , badala ys mfumo wa sasa wa kulipwa na Hslmashairi husika. Au nakala za malipo ziwasilishwe NECTA baada ya malipo kufanyika na Halmashauri.Baadhi ya Halmashauri zimedaiwa 'kuwapiga' cha juu wasimamizi wa mitihani ya kidato cha nne inayoendelea hivi sasa.
Kwa utafiti wangu usio rasmi wa kuwapigia watumishi wa Halmashauri tofauti tofauti, nimegundua kwamba kuna Halmashauri zingine zimewalipa wasimamizi siku 19, zingine zikalipa siku 14 na zingine zikalipa kwa siku msimamizi atakazoingia darasani kusimamia. Kwa mfano, kama shule ina mchepuo wa sanaa pekee na ratiba ni siku tano au saba basi wamelipwa kwa siku hizo.
Swali:
Kwanini siku za malipo zitofautiane? Malipo hayo yamegharamiwa na NECTA au kila halmashauri inalipa kulingana na uwezo wake?
Nafikili kwanza tujue KWa siku ni sh ngapi,Mi sijaelewa hapa, yani kazi ya siku tano malipo yawe sawa na siku 19?
Na kama hii ilikuwa inafanyika huko nyuma huo ni wizi wa wazi kabisaaa.
Shule zote zinajulikana, pesa itengwe kulingana na mahitaji ya shule sio shule zote zipate mgao sawa wakati kuna baadhi zinahitaji pesa kidogo Au zaidi
Hii ndiyo maana halisi ya uchumi wa katiNimecheka Sana ,kwamba avumilie wakati tunatafuna haki yake ,ila aisee watz tumekua wezi Sana,
Mimi nasema Kama posho zao wamewadhulum wazitapike, Yani chance kidogo tu Kila mtu anataka kumalizia matatizo yake pale ,
Acha wapigwe haswaHow walisaidia kuhujumu uchaguzi
Huenda ungefanya kupingana na post yenyewe ungeeleweka vzr kuliko kujaribu kusafisha uozo. Ikiwa ni kweli hoja zilizotolewa,basi si ufisadi ni nini??Nafikiri neno UFISADI ni kubwa mno kutumika hapo, sema tu UPIGAJI inatosha.
Huenda ungefanya kupingana na post yenyewe ungeeleweka vzr kuliko kujaribu kusafisha uozo. Ikiwa ni kweli hoja zilizotolewa,basi si ufisadi ni nini??
BoraWalimu wajinga na hakuna wa kuwatetea
Kwa faida ya wenzangu wengi naomba utusaidie kujua maana ya hilo neno "fisadi" wewe ambaye ulikuwa mwanzilishi wa neno lenyeweSipo hapa kupinga, sio kila wizi ni UFISADI…. matumizi mabaya ya hilo neno. Wengi wenu mmelifahamu kupitia Lowassa basi kila kitu mnaita ufisadi.
Kwa faida ya wenzangu wengi naomba utusaidie kujua maana ya hilo neno "fisadi" wewe ambaye ulikuwa mwanzilishi wa neno lenyewe
Hii ni kweli kabisa, nimeishuhudia pia mkoani ShinyangaNinashauri malipo ya mitihani wasimamizi walipwe moja kwa moja na NECTA , badala ys mfumo wa sasa wa kulipwa na Hslmashairi husika. Au nakala za malipo ziwasilishwe NECTA baada ya malipo kufanyika na Halmashauri.
2. Kuna majina ya walimu , unakuta mwalimu mmoja anapangiwa kusimimamia darasa la nne, darasa la saba, kidato cha pili , kidato cha nne na mwisho atapangwa tena kusimamia kidato cha sita. Hii imekaaje???? Case study iko Mkoani kilimanjaro, Tanzania mwaka 2021.
3. Ninashauri mtihani wa darasa la saba ufutwe ili kutoa mwanya vijana kupata elimu bure hadi kifato cha nne.
Ni ya KWELI kabisa. Tazama maoni ya Watanzania pande zoteKama hii post ina ukweli basi kilichofanyika ni uhuni, unapaswa kuchukuliwa hatua. Naamini halitachukua mda mrefu kabla ya wahusika hawajawajibishwa.
Uhujumu.Ufisadi ni nini katika tafsiri ya kiswahili?
Kwani uongo, jaribu kuuliza uoneHuo ni uongo,
Na wao wanakubali kutumia hela zao? Wao ndio wanaufuga huo ufisadi
Acha wivu wewe