Dalili zinaonesha kuwa Simba hawana malengo na Kombe la CAF

ESPRESSO COFFEE

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2014
Posts
6,170
Reaction score
7,665
Mimi ni shabiki kindaki ndaki wa Simba, na nimekuwa mfuatiliaji wa timu yangu pendwa ya Simba, lakini kuna muda inakosesha amani na kunikatisha tamaa ya kuendelea kuipa imani yangu.

Najihisi kupata ugonjwa wa moyo na hii timu. Nimekuwa nikifanya kila viongozi wa timu watakalo i.e kwenda uwanjani, kununua ticket na kuwanunulia marafiki zangu, kuchangia uwanja na kila mchango ambao Wanasimba tulipaswa kushiriki.

Ninalipia kadi za uanachama kwa wakati, ninanua jezi na kila bidhaa ya Simba itokayotoka kwa Vunja Bei, hadi nimekuwa nikijihisi niyafanyayo hayatoshi kuonesha mapenzi yangu kwa Simba. Naenda mbali na kuwafanyia hayo hayo marafiki zangu, lengo ni kuongeza motisha kwa timu.

Lakini viongozi wa Simba wamekuwa wakinikatisha tamaa wakiongozwa na Afisa Habari wetu ambaye ni “Muongo muongo”, “Mjanja mjanja” na “Mnafiki mnafiki”. Tukifungwa kujifanya kaumia sana na hayupo upande wa viongozi, tukishinda kujifanya yupo upande wa viongozi!

Kilichoniuma sana ni leo baada ya taarifa rasmi kuhusu maandalizi ya timu kuelekea kuikabili De Agosto ya Angola, hizi tetesi zilipita kwenye magroup ya Simba nikahisi ni uongo ila sasa zimetoka rasmi kuwa SIMBA ITAFIKA ANGOLA TAREHE 8 na ITACHEZA MECHI TAREHE 9. Niwaulize mashabiki wenzangu wa Simba, kwa ratiba hii tunatofauti gani na IHEFU Au NAMUNGO?

Kwa timu ambazo zipo siriazi (Serious) na Kombe la CAF zinaweza kika ugenini masaa kadhaa kabla ya Mechi? Simba Tunakosa nini cha kutufanya tufike mapema Angola, tukajiandaa na kuzoea mazingira, kushusha pressure na kupata mashabiki “Wawili watatu” wakutushangilia?

Kwa ukubwa walio nao De Agosto, kwa kikosi tulichonacho ambacho mwalimu wa timu amekiri bado kina mapungufu makubwa ya kiufundi ambao unachagizwa na saikolojia ya timu, kweli tunaenda Angola masaa kadhaa kabla ya mechi?

Mbona Zanzibar tulienda siku kadhaa kabla ya michezo ya kirafiki? Simba tunakosa nini kinachotufanya tufike Angola masaa kadhaa kabla ya mechi, na tuondoke mara baada ya mechi, kama siyo kuwachosha wachezaji kisaikolojia?

Tumesahau msimu uliyopita timu ndogo toka Bostwana ilitutoa (Jwaneng Galax), leo tuenda kupambana na miamba Ya Angola tunaenda masaa kadhaa kabla ya mechi? What a joke!

Kwasasa Simba Tunajivunia Hatua Ya Makundi sijui Robo Fainali hivi Yanga Msimu huu wakifikia Hiyo Hatua Tutaficha wapi sura zetu? Tutajivunia na Nini Cha Zaidi? Angalia timu za Kiarabu ambazo huwa Serious na Kombe hili zinavyo wahi kuondoka Makwao? AL hilal Kashaondoka Anajiandaa kuingia Tanzania. Kwa hili Limeniuma Sanaaa…. Sioni Matumaini Ya Simba Kufika Hatua Ya Makundi kwa Misimi Miwili Mfululizo….. kwa kutokuwa Serious na uendeshaji wa Timu.

Hatuwezi kukaa na kocha, hatuwezi kukaa na wachezaji, hatuwezi kusajiri, hatuwezi kutetea makombe, hatuna consistency ya ubora katika pitch. Yani tupo tupo kama watoto yatima, hakika inauma sana na kufedhehesha.

Ni wapongeze De Agosto kwa kuingia hatua ya makundi. Ni hayo tuuu…. Juma Mgunda, Matola na viongozi wapuuzi wa Simba hawezi kutufikisha popote. Tusamehe Mgunda tunakulaumua bure tuu, lakini UONGOZI WETU NI WA HOVYOOO SIJAPATA KUONA.

Kwa mara nyingine tena hongereni De Agosto kwa kuingia hatua ya makundi ya Kombe la CAF. [emoji120][emoji120]
 
Mimi ni shabiki Kindaki Ndaki wa Simba.

Na Nimekuuwa Mfuatiliaji wa Timu yangu pendwa ya Simba, Lakini kuna Muda Inakosesha Amani na kunikatisha Tamaa ya kuendelea Kuipa Imani Yangu. Najihisi kupata Ugonjwa Wa Moyo na Hii Timu. Nimekuwa Nikifanya Kila Viongozi wa Timu watakalo i.e kwenda Uwanjani, Kukunua Ticket na Kuwanunulia marafiki zangu, Kuchangia Uwanja na Kila Mchango ambao wanasimba Tulipaswa kushiriki, Nina Lipia Kadi za Uanachama Kwa Wakati ninanua Jezi na Kila Bidhaa ya Simba Itokayo toka Kwa Vunja Bei, Hadi nimekuwa Nikijihisi niyafanyayo hayatoshi kuonesha Mapenzi yangu kwa Simba Naenda Mbali na Kuwafanyia Hayo hayo Marafiki zangu lengo ni Kuongeza Motisha Kwa Timu.

Lakini Viongozi wa Simba Wamekuwa Wakinikatisha Tamaa Wakiongozwa na Afisa habari wetu ambaye ni “Muongo Muongo”, “Mjanja Mjanja” na “Mnafiki Mnafiki”. Tukifungwa kujifanya kaumia sana na hayupo upande wa Viongozi tukishinda kujifanya yupo upande wa Viongozi…!!!

Kilicho niuma sanaa Ni Leo baada ya Taarifa Rasmi kuhusu Maandalizi ya Timi kuelekea kuikabili De Agosto Ya Angolo, hizi Tetesi zilipita kwenye Magroup ya Simba nikahisi ni uongo ila sasa Zimetoka Rasmi Kuwa SIMBA ITAFIKA ANGOLA TAREHE 8 na ITACHEZA MECHI TAREHE 9, Niwaulize Mashabiki wenzangu Wa Simba Kwa Ratiba Hii tunatofauti gani Na IHEFU? Au NAMUNGO?

Kwa Timu ambazo Zipo siriazi (Serious) na Kombe La CAF zinaweza Fika Ugenini Masaa Kadhaa Kabla Ya Mechi? Simba Tunakosa Nini Cha Kutufanya Tufike mapema Angola, Tukajiandaa na Kuzoea Mazingira, Kushusha Pressure na Kupata Mashabiki “wawili watatu” wakutushangilia. Kwa Ukubwa walio nao De Agosto, Kwa Kikosi tulicho Nacho ambacho Mwalimu wa Timu amekiri bado kina Mapungufu makubwa Ya Kiufundi ambao unachagizwa na Saikolojia Ya Timu kweli Tunaenda Angola Masaa Kadhaa Kabla Ya Mechi?

Mbona Zanziba Tulienda Siku Kadhaa Kabla Ya Michezo ya Kirafiki? Simba Tunakosa Nini Kinacho Tufanya Tufike Angola Masaa kadhaa kabla ya Mechi, Na Tuondoke Mara baada ya Mechi, Kama Sio Kuwachosha Wachezaji Kisaikolojia? Tumesahau msimu ulio Pita Timu Ndogo Toka Bostwana Ilitutoa (Jwaneng Galax) leo tuenda Kupambana na Miamba Ya Angola Tunaenda Masaa Kadhaa Kabla Ya Mechi? What A Joke?

Kwasasa Simba Tunajivunia Hatua Ya Makundi sijui Robo Fainali hivi Yanga Msimu huu wakifikia Hiyo Hatua Tutaficha wapi sura zetu? Tutajivunia na Nini Cha Zaidi? Angalia timu za Kiarabu ambazo huwa Serious na Kombe hili zinavyo wahi kuondoka Makwao? AL hilal Kashaondoka Anajiandaa kuingia Tanzania. Kwa hili Limeniuma Sanaaa…. Sioni Matumaini Ya Simba Kufika Hatua Ya Makundi kwa Misimi Miwili Mfululizo….. kwa kutokuwa Serious na uendeshaji wa Timu.

Hatuwezi Kukaa na Kocha, hatuwezi kukaa na Wachezaji, Hatuwezi Kusajiri, Hatuwezi Kutetea Makombe, Hatuna Consistency Ya Ubora Katika Pitch Ya Tupo Tupo Kama Watoto Yatima Hakika Inauma Sana Na Kufedhehesha.

Ni wapongeze De Agosto kwa Kuingia Hatua Ya Makundi… Ni Hayo Tuuu…. Juma Mgunda, Matola na Viongozi wapuuzi wa Simba Hawezi kutufikisha Popote, Tusamehe Mgunda Tunakulaumua Buree tuu lakini UONGOZI WETU NI WA HOVYOOO SIJAPATA KUONA

Kwa Mara Nyingine Tena Hongereni De Agosto Kwa Kuingia Hatua Ya Makundi Ya Kombe la CAF [emoji120][emoji120]
Unaweza ukawa mshabiki lakini hujui mpira
 
We nawe unaogopa timu gani ile..au hujui kuwa ni vibonde tu
 
Maelezo mengi kwan simba sc iwahi kwenda kule ni watalii? najaribu kutafakari na kulinganisha mawazo yako na mwanaume kupaka mkongo na kuwahi mechi guest asubuh alaf demu from geti kali akitarajiwa kuja jioni.... kama sio kutaka kujichukulia sheria mkononi
 
Mimi ni shabiki kindaki ndaki wa Simba, na nimekuwa mfuatiliaji wa timu yangu pendwa ya Simba, lakini kuna muda inakosesha amani na kunikatisha tamaa ya kuendelea kuipa imani yangu.

Najihisi kupata ugonjwa wa moyo na hii timu. Nimekuwa nikifanya kila viongozi wa timu watakalo i.e kwenda uwanjani, kununua ticket na kuwanunulia marafiki zangu, kuchangia uwanja na kila mchango ambao Wanasimba tulipaswa kushiriki.

Ninalipia kadi za uanachama kwa wakati, ninanua jezi na kila bidhaa ya Simba itokayotoka kwa Vunja Bei, hadi nimekuwa nikijihisi niyafanyayo hayatoshi kuonesha mapenzi yangu kwa Simba. Naenda mbali na kuwafanyia hayo hayo marafiki zangu, lengo ni kuongeza motisha kwa timu.

Lakini viongozi wa Simba wamekuwa wakinikatisha tamaa wakiongozwa na Afisa Habari wetu ambaye ni “Muongo muongo”, “Mjanja mjanja” na “Mnafiki mnafiki”. Tukifungwa kujifanya kaumia sana na hayupo upande wa viongozi, tukishinda kujifanya yupo upande wa viongozi!

Kilichoniuma sana ni leo baada ya taarifa rasmi kuhusu maandalizi ya timu kuelekea kuikabili De Agosto ya Angola, hizi tetesi zilipita kwenye magroup ya Simba nikahisi ni uongo ila sasa zimetoka rasmi kuwa SIMBA ITAFIKA ANGOLA TAREHE 8 na ITACHEZA MECHI TAREHE 9. Niwaulize mashabiki wenzangu wa Simba, kwa ratiba hii tunatofauti gani na IHEFU Au NAMUNGO?

Kwa timu ambazo zipo siriazi (Serious) na Kombe la CAF zinaweza kika ugenini masaa kadhaa kabla ya Mechi? Simba Tunakosa nini cha kutufanya tufike mapema Angola, tukajiandaa na kuzoea mazingira, kushusha pressure na kupata mashabiki “Wawili watatu” wakutushangilia?

Kwa ukubwa walio nao De Agosto, kwa kikosi tulichonacho ambacho mwalimu wa timu amekiri bado kina mapungufu makubwa ya kiufundi ambao unachagizwa na saikolojia ya timu, kweli tunaenda Angola masaa kadhaa kabla ya mechi?

Mbona Zanzibar tulienda siku kadhaa kabla ya michezo ya kirafiki? Simba tunakosa nini kinachotufanya tufike Angola masaa kadhaa kabla ya mechi, na tuondoke mara baada ya mechi, kama siyo kuwachosha wachezaji kisaikolojia?

Tumesahau msimu uliyopita timu ndogo toka Bostwana ilitutoa (Jwaneng Galax), leo tuenda kupambana na miamba Ya Angola tunaenda masaa kadhaa kabla ya mechi? What a joke!

Kwasasa Simba Tunajivunia Hatua Ya Makundi sijui Robo Fainali hivi Yanga Msimu huu wakifikia Hiyo Hatua Tutaficha wapi sura zetu? Tutajivunia na Nini Cha Zaidi? Angalia timu za Kiarabu ambazo huwa Serious na Kombe hili zinavyo wahi kuondoka Makwao? AL hilal Kashaondoka Anajiandaa kuingia Tanzania. Kwa hili Limeniuma Sanaaa…. Sioni Matumaini Ya Simba Kufika Hatua Ya Makundi kwa Misimi Miwili Mfululizo….. kwa kutokuwa Serious na uendeshaji wa Timu.

Hatuwezi kukaa na kocha, hatuwezi kukaa na wachezaji, hatuwezi kusajiri, hatuwezi kutetea makombe, hatuna consistency ya ubora katika pitch. Yani tupo tupo kama watoto yatima, hakika inauma sana na kufedhehesha.

Ni wapongeze De Agosto kwa kuingia hatua ya makundi. Ni hayo tuuu…. Juma Mgunda, Matola na viongozi wapuuzi wa Simba hawezi kutufikisha popote. Tusamehe Mgunda tunakulaumua bure tuu, lakini UONGOZI WETU NI WA HOVYOOO SIJAPATA KUONA.

Kwa mara nyingine tena hongereni De Agosto kwa kuingia hatua ya makundi ya Kombe la CAF. [emoji120][emoji120]
Kama ungekuwa unaelewa mpira hata kidogo usingeandika hili gazeti la malalamiko.
Kama ungekuwa unajua fitna za Waangola ungeshauri timu ifike muda wa mechi tu tena dakika chache kabla ya mechi kuanza.
Na pia usiwe na shaka, hawaendi kwa pick up kama walivyokuja Zalana wakiwa hoi. Hapo angola ni safari isiyozidi saa moja na nusu kwa ndege hivyo hakuna mchezaji atakuwa na fatigue.
Tarehe 8 angalia vituko vya mpira kisha tarehe 9 angalia mpira wa Ligi ya mabingwa.
 
Kama Simba wataondoka na ndege ya kukodi kwenda Angola nitawaelewa kuwa wanakwepa fitina za mpira na gharama za Hotel [emoji2922] maana Luanda Angola maisha ni ghali sana, Kwaiyo wanafika na kucheza na kurudi ila wakumbuke michezo ya Covid haijaisha waende na wachezaji wa kotosha.
Kama Simba wataondoka Kwa flight [emoji3575] ya connection pale Oriver Tambo wakatue Luanda Angola basi uongozi utakua na shida sana maana walitakiwa kuwahi mapema.
 
Mimi ni shabiki kindaki ndaki wa Simba, na nimekuwa mfuatiliaji wa timu yangu pendwa ya Simba, lakini kuna muda inakosesha amani na kunikatisha tamaa ya kuendelea kuipa imani yangu.

Najihisi kupata ugonjwa wa moyo na hii timu. Nimekuwa nikifanya kila viongozi wa timu watakalo i.e kwenda uwanjani, kununua ticket na kuwanunulia marafiki zangu, kuchangia uwanja na kila mchango ambao Wanasimba tulipaswa kushiriki.

Ninalipia kadi za uanachama kwa wakati, ninanua jezi na kila bidhaa ya Simba itokayotoka kwa Vunja Bei, hadi nimekuwa nikijihisi niyafanyayo hayatoshi kuonesha mapenzi yangu kwa Simba. Naenda mbali na kuwafanyia hayo hayo marafiki zangu, lengo ni kuongeza motisha kwa timu.

Lakini viongozi wa Simba wamekuwa wakinikatisha tamaa wakiongozwa na Afisa Habari wetu ambaye ni “Muongo muongo”, “Mjanja mjanja” na “Mnafiki mnafiki”. Tukifungwa kujifanya kaumia sana na hayupo upande wa viongozi, tukishinda kujifanya yupo upande wa viongozi!

Kilichoniuma sana ni leo baada ya taarifa rasmi kuhusu maandalizi ya timu kuelekea kuikabili De Agosto ya Angola, hizi tetesi zilipita kwenye magroup ya Simba nikahisi ni uongo ila sasa zimetoka rasmi kuwa SIMBA ITAFIKA ANGOLA TAREHE 8 na ITACHEZA MECHI TAREHE 9. Niwaulize mashabiki wenzangu wa Simba, kwa ratiba hii tunatofauti gani na IHEFU Au NAMUNGO?

Kwa timu ambazo zipo siriazi (Serious) na Kombe la CAF zinaweza kika ugenini masaa kadhaa kabla ya Mechi? Simba Tunakosa nini cha kutufanya tufike mapema Angola, tukajiandaa na kuzoea mazingira, kushusha pressure na kupata mashabiki “Wawili watatu” wakutushangilia?

Kwa ukubwa walio nao De Agosto, kwa kikosi tulichonacho ambacho mwalimu wa timu amekiri bado kina mapungufu makubwa ya kiufundi ambao unachagizwa na saikolojia ya timu, kweli tunaenda Angola masaa kadhaa kabla ya mechi?

Mbona Zanzibar tulienda siku kadhaa kabla ya michezo ya kirafiki? Simba tunakosa nini kinachotufanya tufike Angola masaa kadhaa kabla ya mechi, na tuondoke mara baada ya mechi, kama siyo kuwachosha wachezaji kisaikolojia?

Tumesahau msimu uliyopita timu ndogo toka Bostwana ilitutoa (Jwaneng Galax), leo tuenda kupambana na miamba Ya Angola tunaenda masaa kadhaa kabla ya mechi? What a joke!

Kwasasa Simba Tunajivunia Hatua Ya Makundi sijui Robo Fainali hivi Yanga Msimu huu wakifikia Hiyo Hatua Tutaficha wapi sura zetu? Tutajivunia na Nini Cha Zaidi? Angalia timu za Kiarabu ambazo huwa Serious na Kombe hili zinavyo wahi kuondoka Makwao? AL hilal Kashaondoka Anajiandaa kuingia Tanzania. Kwa hili Limeniuma Sanaaa…. Sioni Matumaini Ya Simba Kufika Hatua Ya Makundi kwa Misimi Miwili Mfululizo….. kwa kutokuwa Serious na uendeshaji wa Timu.

Hatuwezi kukaa na kocha, hatuwezi kukaa na wachezaji, hatuwezi kusajiri, hatuwezi kutetea makombe, hatuna consistency ya ubora katika pitch. Yani tupo tupo kama watoto yatima, hakika inauma sana na kufedhehesha.

Ni wapongeze De Agosto kwa kuingia hatua ya makundi. Ni hayo tuuu…. Juma Mgunda, Matola na viongozi wapuuzi wa Simba hawezi kutufikisha popote. Tusamehe Mgunda tunakulaumua bure tuu, lakini UONGOZI WETU NI WA HOVYOOO SIJAPATA KUONA.

Kwa mara nyingine tena hongereni De Agosto kwa kuingia hatua ya makundi ya Kombe la CAF. [emoji120][emoji120]
Wewe ni mtopolo subiria tu kumanuliwa na mwarabu tena kwa staili ile ile mnayoipenda ya nje ndani
 
Simba Kuna tatizo la uongozi mara zote Kapombe akiumia Huwa anakimbizwa Africa kusini kuangaliwa lakini mpaka sasa matibabu yake hayaeleweki, tunategemea Mwenda ambaye akipata mpira anafikiria kumrudisha nyuma.
Wamemrudisha shamte kama kocha wa muda wa makipa wakati uwezo wake ulionekana mdogo, tunakwenda kwenye mashindano makubwa bila kuwa na mwalimu wa utimamu wa mwili. Matokeo yoyote mabaya lawama itabidi ziwaangukie viongozi
 
Kumbe kuna watu mnapenda mpira lakini hamjui mpira hasa wa Afrika.

Unadhani Simba ni wapumbavu?
Wanajua wanachofanya,Angola sio Zambia wala Malawi.Angola ni nchi isiyotabirika kwa usalama.Timu ikiwahi wanaweza kufanyiwa uhuni ambao hukutarajia.

Acha kuandika kwa hisia tumia akili
 
Kwa uandishi huu hujui lolote kuhusu mpira.
Nilitaka nikupe sababu ya team kusafiri siku moja kabla ya mechi lakini baada ya kusoma lawama zako kwa Viongozi wa team na kocha Mgunda ambaye mpaka sasa ameongoza benchi la ufundi bila kupoteza mechi hata moja nikagundua kuwa wewe ni Utopolo mkosa akili.
 
Simba Kuna tatizo la uongozi mara zote Kapombe akiumia Huwa anakimbizwa Africa kusini kuangaliwa lakini mpaka sasa matibabu yake hayaeleweki, tunategemea Mwenda ambaye akipata mpira anafikiria kumrudisha nyuma.
Wamemrudisha shamte kama kocha wa muda wa makipa wakati uwezo wake ulionekana mdogo, tunakwenda kwenye mashindano makubwa bila kuwa na mwalimu wa utimamu wa mwili. Matokeo yoyote mabaya lawama itabidi ziwaangukie viongozi
Tanzania ina watu wa ovyo sana, unajikuta mjuaji kuliko viongozi na benchi zima la ufundi! Hivi Utopolo mnawashwa nini!?
 
Kama Simba wataondoka na ndege ya kukodi kwenda Angola nitawaelewa kuwa wanakwepa fitina za mpira na gharama za Hotel [emoji2922] maana Luanda Angola maisha ni ghali sana, Kwaiyo wanafika na kucheza na kurudi ila wakumbuke michezo ya Covid haijaisha waende na wachezaji wa kotosha.
Kama Simba wataondoka Kwa flight [emoji3575] ya connection pale Oriver Tambo wakatue Luanda Angola basi uongozi utakua na shida sana maana walitakiwa kuwahi mapema.
Hapa sasa umekuwa redio ya bluetooth sio ya mbao
 
Back
Top Bottom