Pole kwa maradhi, nakuombea ili Mungu akuponye mapema mkuu, jitahidi kutafuta tiba maana kadiri muda unavyozidi kwenda tatizo litazidi kuongezeka.Asanteh dutu nashukuru kwa ushauri wako
N kweli npo xehemu yenye barid xan pia hali ya mazngira yaan ukiunganixha na maixha raha inaixha kbxaaMkuu hayo magonjwa yanaumiza sana.Tena yote kwanza yapo tumboni Mara uharishe; mara kichefuchefu; Mara homa. Yaani ni tafrani balaa. Kibaya zaidi hayapendi baridi sana hiyo ni uzoefu wangu.Pia labda mazingira uliyopo yanasababisha. Ukiangalia yote yanasababishwa na uchafu. Pengine unatumia dawa yanarudi.
Sawa ndg nmekuelewa labda pia nifanye uchunguz kuhuxu hiloInawezekana kuwa na upungufu WA kinga mwilini pasipokuwa na Hiv..
Kinga inaposhuka inasababisha magonjwa nyemelezi kushambulia.
Kumbuka cancer, TB, na magonjwa mengineyo yanachangia kupunguza kinga ya mwili.
Wacheck level ya CD4, hata TB pia inasababisha immunosuppression.
Bwana mimi sio dr. Mkuu, mimi ni mpika maandazi wa huku kwetu Kwamtogole.Duh! Nilitaka kukuita Dr wetu hapa jamvini upite mtaa huu, kumbe umeshazuka. Hongera sana.
Ndio, Pima CD4 ili ujue kama ziko chini na nini kinachosababisha zishukeSawa ndg nmekuelewa labda pia nifanye uchunguz kuhuxu hilo
Nmepima hospitalin kilichopatikana vidonda vya tumbo, amoeba na minyoo ila kwenye vipimo vya computer ndo nkaambiwa et damu yangu imechafuka nikapewa dawa sikupata nafuu toka mwez wa nane mwaka jan mpk xaiv ndo hali inazd kuwa mbaya
Kwa huu uandishi sijui kama utaweza kujieleza na kupata tiba sahihi. S na X havina uhusianoNi kweli npo xehemu yenye barid xan
1. Vipimo haiwezekani kudanganya kwa vipindi tofauti tofauti japo true positive na true negative as well as false positive and false negative huwa zipo.Jaman naomba kuuliza hv inaweza kuwa kweli kuugua nakupata dalili zinafanana na ukimwi na apime kila baada ya miez mitatu mara nne namaanisha mwaka mzima na matokeo kila kupima ni negative (HIV -VE) je huyo mtu atakuwa ni kweli hajaathirika au ni vipimo kushindwa kutoa ukweli, naomba wenye uelewa mnifafanulie asanteni.
Ukitoa neno ukimwi ktk orodha ya magonjwa ulioweka hapo juu, hayo magonjwa mengine uliotaja ndo yanakushambulia kwa pamoja na kuleta ukosefu wa kinga mwilini!Mbona dalili nyingi za magonjwa zinafanana tu. Mf malaria/typhoid,ukimwi/kansa/kisukari,pneumonia/bronchitis,mimba/myoma,..... nk.