Dalili zinazofanana na za ukimwi.

Dalili zinazofanana na za ukimwi.

mara nne ndan ya mwaka mzima? huo sio ukimwi kbsaaaa, maxmn diagnosis ya HIV n siku 84/3months
 
Pole sana,nakuombea upate vipimo sahihi na matibabu sahihi utakuwa mzima ondoa hofu fuatilia vipimo ukiwa na matumaini ya kupata suluhisho.
 
Pole kwa maradhi, nakuombea ili Mungu akuponye mapema mkuu, jitahidi kutafuta tiba maana kadiri muda unavyozidi kwenda tatizo litazidi kuongezeka.
Ni kweli npo xehemu yenye barid xan
 
Mkuu hayo magonjwa yanaumiza sana.Tena yote kwanza yapo tumboni Mara uharishe; mara kichefuchefu; Mara homa. Yaani ni tafrani balaa. Kibaya zaidi hayapendi baridi sana hiyo ni uzoefu wangu.Pia labda mazingira uliyopo yanasababisha. Ukiangalia yote yanasababishwa na uchafu. Pengine unatumia dawa yanarudi.
N kweli npo xehemu yenye barid xan pia hali ya mazngira yaan ukiunganixha na maixha raha inaixha kbxaa
 
Inawezekana kuwa na upungufu WA kinga mwilini pasipokuwa na Hiv..

Kinga inaposhuka inasababisha magonjwa nyemelezi kushambulia.

Kumbuka cancer, TB, na magonjwa mengineyo yanachangia kupunguza kinga ya mwili.
 
Inawezekana kuwa na upungufu WA kinga mwilini pasipokuwa na Hiv..

Kinga inaposhuka inasababisha magonjwa nyemelezi kushambulia.

Kumbuka cancer, TB, na magonjwa mengineyo yanachangia kupunguza kinga ya mwili.
Sawa ndg nmekuelewa labda pia nifanye uchunguz kuhuxu hilo
 
Nmepima hospitalin kilichopatikana vidonda vya tumbo, amoeba na minyoo ila kwenye vipimo vya computer ndo nkaambiwa et damu yangu imechafuka nikapewa dawa sikupata nafuu toka mwez wa nane mwaka jan mpk xaiv ndo hali inazd kuwa mbaya

Kwani kuna MTU uli-ngono-ka naye na baadae ukagundua ameathirika na HIV+..?
 
Jaman naomba kuuliza hv inaweza kuwa kweli kuugua nakupata dalili zinafanana na ukimwi na apime kila baada ya miez mitatu mara nne namaanisha mwaka mzima na matokeo kila kupima ni negative (HIV -VE) je huyo mtu atakuwa ni kweli hajaathirika au ni vipimo kushindwa kutoa ukweli, naomba wenye uelewa mnifafanulie asanteni.
1. Vipimo haiwezekani kudanganya kwa vipindi tofauti tofauti japo true positive na true negative as well as false positive and false negative huwa zipo.
2. Dalili unazoona wewe ni zipi?
 
Mbona dalili nyingi za magonjwa zinafanana tu. Mf malaria/typhoid,ukimwi/kansa/kisukari,pneumonia/bronchitis,mimba/myoma,..... nk.
Ukitoa neno ukimwi ktk orodha ya magonjwa ulioweka hapo juu, hayo magonjwa mengine uliotaja ndo yanakushambulia kwa pamoja na kuleta ukosefu wa kinga mwilini!
 
Back
Top Bottom