Dalili zinazofanana na za ukimwi.

Asijekuwa na homa ya INI, nenda kapime
 
Carrier ni mtu mwenye maambukizi ya virusi vya ukimwi lakin vile vipokeo vya virus hana,kwahio akipimwa anaonekana ni positive lakini vizuri havijashambulia zile cd4 zake
 
Usihofu hayo magonjwa yanasumbua sana.Mimi ishanikuta hiyo. Wewe tafuta tu dawa nzuri ya amoeba na minyoo.Vidonda vya tumbo sina cha kukushauri maana hata mimi bdo nahangaika
Kunyweni mualovela,chemsha mwenyewe kila siku japo nusu glasi baada ya kama wiki tatu au nne utaanza kuona huumwi tena....lkin pia kula na maganda ya chungwa itabaki stori me saivi napiga hata maharage vzuri kbsa wakat nimeumwa tangu 2004.
 
Kwahiyo ulikuwa na upungufu Wa kings mwilini?
 
inategemea, unaweza kuwa unasumbuliwa na tumbo mara kwa mara, huyo VIRUS hana tofauti nawa HIV
CC SKY ECLAT
Kwa hiyo Homa ya ini dalili zake Zinabafanana na HIV?! Nifafanulie mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…