Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
amiina atubariki wote nduguNashukuru mkuu nmekuja take vyema nitalifanyia kazi na mungu akubariki!!!
Kunyweni mualovela,chemsha mwenyewe kila siku japo nusu glasi baada ya kama wiki tatu au nne utaanza kuona huumwi tena....lkin pia kula na maganda ya chungwa itabaki stori me saivi napiga hata maharage vzuri kbsa wakat nimeumwa tangu 2004.Usihofu hayo magonjwa yanasumbua sana.Mimi ishanikuta hiyo. Wewe tafuta tu dawa nzuri ya amoeba na minyoo.Vidonda vya tumbo sina cha kukushauri maana hata mimi bdo nahangaika
inategemea, unaweza kuwa unasumbuliwa na tumbo mara kwa mara, huyo VIRUS hana tofauti nawa HIVJe hiyo Homa ya ini dalili zake Zinakukueje
Kwahiyo ulikuwa na upungufu Wa kings mwilini?Kunyweni mualovela,chemsha mwenyewe kila siku japo nusu glasi baada ya kama wiki tatu au nne utaanza kuona huumwi tena....lkin pia kula na maganda ya chungwa itabaki stori me saivi napiga hata maharage vzuri kbsa wakat nimeumwa tangu 2004.
Vidonda vya tumbo sio lazima uwe na upungfu wa kinga mwilini.Kwahiyo ulikuwa na upungufu Wa kings mwilini?