Dalili zipi uliziona ukajua uhusiano wenu umefikia mwishoni?

Mshangazi dot com

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2011
Posts
1,345
Reaction score
3,503
Ilikuwaje, je alibadilika tabia, alipunguza mawasiliano, uligundua uaminifu hakuna au jambo gani lilitokea ukajua wewe na yeye hamna future na mtaachana.

giphy.gif

giphy.gif

"Nalivua pendo by Mwasiti" ikawaburudishe

View: https://youtu.be/izcxbUPTrUQ?si=hIdmOxxm9T1OTO0B
 
Alikata mawasiliano ghafla nikaona dalili mbaya kumuuliza so it's over akajibu yes tukaishia hapo.

Kuna aliesema anza kunitreat kama rafiki nikahisi kitu kumuuliza eti mahusiano yetu yalikuwa ka-game tu, tukaishia hapo.

Kuna alieomba hela eti naomba kama laki1 mpenzi nikaona bad sign hii, tukaishia hapo.

Kuna aliesema nakupenda mume wangu nataka uwe baba watoto wangu nikaona uhuru wangu unaenda kutoweka, huku anajua mi ni kataa ndoa, tukaishia hapo.

Mshangazi dot com mpenzi wako wa kwanza mliiachana vipi 😎
 
Sasa huyo wa laki, si ungempa tu jamani.
Na hata aliyetaka kukuzalia naye ukamkacha, daa we kijana.

Wangu wa kwanza alikua king'ang'anizi sana, mimi nilikua msichana wake wa kwanza na yeye alikua wangu wa kwanza. Alitaka kunioa na miaka 20 na mimi nilitaka kuiona dunia zaidi, so nikamuacha.
 
Back
Top Bottom