Dalili zipi uliziona ukajua uhusiano wenu umefikia mwishoni?

Dalili zipi uliziona ukajua uhusiano wenu umefikia mwishoni?

Mahusiano yalipokuwa mapya alikuwa anamumunya kwa ustadi wa hali ya juu utafikiri alikuwa kibogoyo, kadiri siku zilivyozidi kwenda mambo yalizidi kubadilika, natumai ningeendelea naye angeutafuna kabisa muwa wangu wa thamani.

mzabzab kuwa makini kwenye mahusiano.
Mie na mahusiano nakumbuka demu mmoja tuu nilimpenda sana
 
Back
Top Bottom