Dalili zipi uliziona ukajua uhusiano wenu umefikia mwishoni?

Dalili zipi uliziona ukajua uhusiano wenu umefikia mwishoni?

Tuliambiana goodnite kuwa wote tunalala.
Nikaamua kwenda club.

Kufika namuona mwenzangu anabambiwa kama ana akili mbovu. Kumpigia simu hapokei, nilipotuma msg akanambia hawezi pokea kalala na mama.

Nikaenda alipo nikampa 5 halafu na mimi nikatafuta wa kubambia, maisha yakaendelea.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣😄 Mapenzi ya kibongo hayo, ni kukaa kwa streak tu. Ukijifanya Dr.Love unapotea. Mapenzi ya love & basketball hayafai kwa kizazi cha sasa.
 
Mara ya mwisho alinambia, "Yaani mimi nikiwaga na hasira sioendagi kuona watu mbele yangu"...

Akatoweka mbele ya upeo wa macho yangu. Hakurejea. Hajarejea. Sidhani kama atarejea.
Poof akatoweka 🤣, ila “Shetani” 😂
200.gif
 
Tuliambiana goodnite kuwa wote tunalala.
Nikaamua kwenda club.

Kufika namuona mwenzangu anabambiwa kama ana akili mbovu. Kumpigia simu hapokei, nilipotuma msg akanambia hawezi pokea kalala na mama.

Nikaenda alipo nikampa 5 halafu na mimi nikatafuta wa kubambia, maisha yakaendelea.
this was epic😂😂
 
Back
Top Bottom